King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Don't play with "Tall P.K" ,hes another One.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi kinachotakiwa ni mapatano kati ya serikali ya DRC na M23 halafu huo mzozo ukiisha DRC ishirikiane na Rwanda na Uganda ili kulisafisha hilo Pori na kuwakamata Magaidi ya ADF na FDLR na kuyavunja Makundi madogo madogo ya Waasi kama Mayi mayi na Wazalendo
Not a bit, a at large percent, and he knows thatPlaying "off - the - book" is what made him what he is.
We did a bit.
Umbali Wote HuoKuna magari zaidi ya 300 kutoka Rwanda yanabeba Mchanga uliokuja na meli kupitia bandari ya Kigoma kutoka Congo yanapita Kigoma -Kasulu - Kibondo- Kakonko -Nyakanazi. Itakuwa Nchi wanachama tunafiadika siyo bure.
Genocide ilitokea Bill Clinton akiwa Rais wa USA na ni mojawapo ya mambo aliyolaumiwa sana kwa US kutofanya jambo lolote wakati huo
Rwanda ni mojawapo ya mataifa machache ya Africa yanayoisapoti Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi.
Makampuni makubwa ya teknolojia yamawekeza Rwanda na Kagame ana mahusiano mazuri sana na nchi za Magharibi na Israel.
Ndio uelewe sasa hata hiyo hoja ya mabeberu kusababisha vita ili kuiba madini ya DRC haina mashiko sana...makampuni ya makabaila yanaweza kupata kila wanachotaka toka Congo kwa kumtumia Tsishekedi badala ya kumwaga damu ya Wacongo kwa kuwatumia Kagame na Museveni.
‘Kuiba japo madini kidogo’😁😁😁😁😁!!!Acha kuishi na kuwaza kawaida bro! Jiulize kwanza, Haiti ni ndogo kama chalinze, ipo pembezoni mwa, USA, kwanini USA hapeleki majeshi yake pale kutuliza Amani? Kama, aliweza, kupeleka Afghanistan, Iraq, nk kwanini sio Haiti? Ila anatoa pesa anaipa Kenya ipereke polisi!
Why! Congo hapo ni Vita ya maslahi, Rwanda haina economic muscles ya kuendesha Vita na Ku support M23, kuna powerful non state players wapo nyuma!
Hapo ni tpdf kukiwasha, kwa, akili, na kuiba jspo madini kidogo, kama tuliweza kuikomboa kusini mwa Afrika, hatushindwi Congo,
Hao Rwanda walienda Mozambique, kutuliza magaidi, Hari imekuwa tete wamekimbia,
Boarder ya Burundi -Rwanda wamefunga hata mm nilishangaaUmbali Wote Huo
Udoho wa nchi siyo sababu, angalia umahiri wa jeshi lake. Kwani Irael kubwa?Rwanda na Tanzania ni mbingu na ardhi yule hawezi kupigana na jeshi la Tanzania watamchakaza vibaya sana
Nchi yenyewe sawa na mkoa wa Tabora
Clip zipo, zinanesha akimkaripia Kikwete kwenye media. Siyo story za vijiweniStorybza vijiwe vya kahawa , kagame ni mtu mdogo sana tanzania hii hana jeuri yeyote
Huyo bwana mdogo kapita kwenye mikono yetu yeye na baba yake wa kiroho M7.We didn't train him, he was trained by Museveni and USA.
Ndio uelewe sasa hata hiyo hoja ya mabeberu kusababisha vita ili kuiba madini ya DRC haina mashiko sana.
‘Kuiba japo madini kidogo’😁😁😁😁😁!!!
Hata mimi nakuunga mkono katika hilo,
Lakini ukweli mchungu ni kwamba , hiyo nchi ya kuiba madini iko wapi, Tanzania? Hii hii nchi yetu ambayo tunajiibia madini yetu wenyewe,!! Hivi ni kiongozi gani mwenye akili hiyo aende kuiba madini Congo?
Ili ayapeleke wapi? Kuna kiongozi mwenye akili hiyo ya kwenda kuiba madini Congo kwenye vita wakati anaweza kuiba hapahapa bila kutumia hata manati,
Acha Kagame aibe mwenye uchungu na maendeleo ya nchi yake , lakini sio hawa tuliowapa dhamana ya kutuongoza ,
Wanakula kulaini hapahapa bila kuhangaika na mambo ya vita.
Hebu kaa kwa utulivu uitafakari nchi yako kwanza na uililie hasa,
Hayo angeweza kuyafanya Magufuli tu,
Mtu ambaye alikuwa na vision na target ya kuipeleka Tanzania sehemu fulani
Hauko sahihi. Hicho ni Kikosi maalumu (Force Intervention Brigade - FIB) ndani ya walinzi wa amani wa UN (MONUSCO) kikiwa na jukumu la kupambana na waasi kama M23 (Enforcement under chapter 7 of the UN Charter).Hata kikosi cha SADC ambacho Tanzania amechangia jeshi hawajaenda DRC kupambana na M23, kama wanafanya hivyo ni kinyume na mission iliyowapeleka ya peacekeeping.
Nakwambia hana jeuri hiyoClip zipo, zinanesha akimkaripia Kikwete kwenye media. Siyo story za vijiweni
Ni sawa Joka Kuu,..Congo yenye amani itakuwa na faida kubwa kwa mwananchi wa kawaida wa Tanzania.
..Mipaka ya Tanzania na nchi majirani wenye amani imechangamka kibiashara na wananchi wanapiga pesa.
..Ukitaka kujua faida ya nchi jirani yenye amani linganisha biashara ktk mpaka wa Tunduma[ Zambia ], na biashara ktk mpaka wetu na Msumbiji.
Songwe ni mkoa wa kawaida sana kibiashara unazidiwa hata na Iringa...Congo yenye amani itakuwa na faida kubwa kwa mwananchi wa kawaida wa Tanzania.
..Mipaka ya Tanzania na nchi majirani wenye amani imechangamka kibiashara na wananchi wanapiga pesa.
..Ukitaka kujua faida ya nchi jirani yenye amani linganisha biashara ktk mpaka wa Tunduma[ Zambia ], na biashara ktk mpaka wetu na Msumbiji.
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka watoto wa taifa letu wanaopigana na M23 kule DRC.damu yao inamwagika kwa sababu gani?
View: https://www.youtube.com/watch?v=HHtxvhSPgAQ&t=124s&pp=ygUWdGhlIHBlb3BsZSAgd2hvIGFzayBtZQ%3D%3D