Nina $ 23,000 ila sijui biashara gani inanifaa

Sikia Kijana hyo hela tafuta kiwanja next na barabara ya lami maeneo ya Goba....nunua...fungua car wash ya maana piga kimya.

Eneo lita appreciate, kodi hulipi na in the long run utajikuta una garage matata sana na hela yako isharudi long tym ago.

Na hilo eneo biashara yeyote utafanya hata kufyatua matofali.

Go buy an investment property i.e. Land kikubwa uwe na hela flani ya kufanya biz let say 20 - 25 Million. Hutojuta Joh Niamini.
 
Unazifanya tax or uber?
 
Milion 50 za kitanzania kwako wewe unaziona ni ndogo!!!!!!!.Kweli binadamu tuko tofauti sana.
Kama ni hela ya pension ndo unategemea ufanyie biashara baada ya kustaafu....dont hiyo hela ndogo kwa biashara kwa wakati huu utakufa kwa frustration na stress think twice
 
Watu kama wewe ni wachache sana....ubarikiwe
 
Hela uwa haikose matumiz mkuu,tatzo ujanielewa nimemaansha nini,,,,mtu kuomba ishauri haina maana yeye ameshindwa kufanya maamuz binafs,ilq kupata mawazo ya watu wngn n vyema zaidi wakati unaaanza mikakati yako

Nakushauri uwaombe rafiki zako wako wa karibu,
 
Habar Mkaka
Kama ni mm ndio mwenye hiyo Capital
"50 million"
Napenda kukushaur ufanye hivii..

A) Tumia sh 30million
Hiyo ni pamoja na kununua Kiwanja(5,000,000) halafu ukajenga lodge ya vyumba 10 Self yenye thaman ya
sh 25Million.

B) Tumia sh 20milion
Nunua Toyota Hiace Used kwa Mtu ambayo ipo Order kwa sh 18,000 ila b4 hujanunua inabidi uende kuikagua ukiwa na fundi unayemuamin.
Hizo sh 2milion punguza kidogo kwa kulipia Comprehensive Insuarance hio hiace then per day unapata sh 50,000.

Aidha; Baada ya Lodge kukamilika utakuwa unapiga Ela sh 100,000 kima cha juu kila siku km biashara itakuwa nzuri.

ALTENATIVE
A) Nunua boti 3 Used zenye kutumia Mashine za kisasa za kuvulia samaki hapo mwanza.
Kipande kwa siku ni zaid ya sh 100,000.
OR
B) Nunua hiace tatu Used kwa mtu kwa
sh 45,000,000 halafu utabakiwa na
sh 5,000,000.
Then katia zote Comprehensive insuarance utabakiwa na chenchi kidogo.
Project hii utapokea sh 150,000 kila siku.

KAZ KWAKO MKUU
 
Hiyo pesa haitoshi kwa mlolongo wa mambo ulioweka hapa... Fikiria tena upya.
 
Ushauri huu utafail,utaishia njiani. Kujenga siku hizi asikuambie mtu. Ujenzi wa kwenye makaratasi huo. Lorge ya vyumba vi5 usipungue milioni 60 ndio itakamilika
 
Inahitajika kiasi gani mtaji ili uwe wakala wa TBL au TCC? TBL utahitaji big warehouse kwahiohio 50m
 
Akili za Kitoto hizi hiyo Lodge kwenye hicho kiwanja cha 5,000,000 itapata wateja kweli eti unajenga kwa 25million chini inakua ya Vumbi, Haipigwi Plasta ukutani wala Silling Board acha Gypsum....

Unajua bei ya Dirisha moja wewe? Au inakua ya Mapazia?

Milango?
Paving?
Fence tuu ya Guest dogo inakula zaidi ya 15M

Ondoeni utoto wenu hapa hicho ni kiasi kidogo sana kuwekeza kwenye Real estate akajichimbie hata kariakoo afanye biashara ya Electronics akimata 90m au 80m hivi ndo uumpe hizo idea zako?
 
Huna lolote sema unataka mademu WA JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…