the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
Zanzibar business ya magari issue ila kwa bara nakubali kuna challengese, kila biashara lazima utazame wapi inafaa
Why bro?? Mimi assistant wangu kazini anazo Noah 2, nipo nae huu mwaka wa tatu na nimejifunza vya kutosha.
Hebu convince me otherwise bro