Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

eity 4

Senior Member
Joined
Dec 7, 2014
Posts
148
Reaction score
209
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Furahia kutembea kwa miguu mkuu kwa afya yako hata baada ya kununua gari... anyway gari ni passo au vitz old model
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Kaka humu kuna masnich wengi wakatisha tamaa kwa mpunga wako huo unavuta vitz, sienta, suzuki swift, honda fit.... mkuu usidanganywe ukanunua grand mark Ii, brevis, progress, marks x, ogopa sana hizo achana na hawa vijana wasio na vision ...Hongera kwa uamuzi mzuri

sent from HUAWEI
 
Kaka humu kuna masnich wengi wakatisha tamaa kwa mpunga wako huo unavuta vitz,sienta , suzuki swift , honda fit ....mkuu usidanganywe ukanunua grand mark Ii ,brevis ,progress,marks x, ogopa sana hizo achana na hawa vijana wasio na vition ...Hongera kwa uamuzi mzuri

sent from HUAWEI
Asante sana kaka
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
IMG-20211005-WA0056.jpg
IMG-20211005-WA0057.jpg
IMG-20211005-WA0058.jpg
IMG-20211005-WA0059.jpg

ningerikupa hiki manual kwa 4.5 sema kiko mkao wa kusepa kwa mteja tyl nna maongezi nae ya mwanzo
 
Back
Top Bottom