Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Kaka humu kuna masnich wengi wakatisha tamaa kwa mpunga wako huo unavuta vitz,sienta , suzuki swift , honda fit ....mkuu usidanganywe ukanunua grand mark Ii ,brevis ,progress,marks x, ogopa sana hizo achana na hawa vijana wasio na vition ...Hongera kwa uamuzi mzuri

sent from HUAWEI
Mbona wewe Una Crown 2GR?!!
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Tulia unapata ist nzuri tu cha msingi uwe na connection watu wengi wanauza magari. Hata vits new model unapata kwa hela hiyo upo mkoa gani. Usikatishwe tamaa mwingine hata ndoto ya kununua baiskeli hana.
 
Kaka humu kuna masnich wengi wakatisha tamaa kwa mpunga wako huo unavuta vitz,sienta , suzuki swift , honda fit ....mkuu usidanganywe ukanunua grand mark Ii ,brevis ,progress,marks x, ogopa sana hizo achana na hawa vijana wasio na vition ...Hongera kwa uamuzi mzuri

sent from HUAWEI
Hizo gari ulizotaja ni mahususi kwa vijana wasio na vision sio?
 
Mm napenda mwendo ,lkn pia kuhusu mafuta nina fungu la kila mwezi linatolewa na ofisi ....ENGINE ya 3500 cc kulimudu hivi hivi lazima uliuze ....Hivyo Tusimshauri vibaya ukizingatia ni first time anataka kumiliki gari hizi gari zenye cc kubwa mpk uwe mzoefu

sent from HUAWEI
Mwache aingie huko akili ichangamke pia atakuwa na discipline
 
Vile wapigaji wanatembea kwa uhodari kuwahi pm😁😁😁
AAP5rQ.jpg
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?

Hakikisha kujenga urafiki na mafundi usije kufanana kuanzia wewe, gari na mafundi
 
Back
Top Bottom