Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Nenda kwa sossy_magari instagram unaweza kupatabili
Screenshot_20211121-192735.png
 
Mwache aingie huko akili ichangamke pia atakuwa na discipline
Hahahaha ataiuza kwa bei ya nyanya muda si mrefu😂 ukizingatia “Luteni” ananunua litre 4.10 kwa sasa lazma akili imkae sawa!
 
Kaka humu kuna masnich wengi wakatisha tamaa kwa mpunga wako huo unavuta vitz, sienta, suzuki swift, honda fit.... mkuu usidanganywe ukanunua grand mark Ii, brevis, progress, marks x, ogopa sana hizo achana na hawa vijana wasio na vision ...Hongera kwa uamuzi mzuri

sent from HUAWEI
Kwahiyo Mkuu sisi wenye brevis hatuna vision?
 
Back
Top Bottom