The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Kosa la kwanza umefanya ni kuandika wewe si mzoefu wa magari na kutaja dau lako. Ungetafuta mtaalam unaemwamini kama alivyoshauri Extrovert ili yeye ajue analenga wapi.
Hapo hata mwenye gari ambayo angeiuza kwa 3M ataipandisha hadhi ilimradi tu akutengeneze. Namaanisha hata yule mwenye gari haitembei kabisa anaweza kukuingiza king. Uwe makini.