Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Kosa la kwanza umefanya ni kuandika wewe si mzoefu wa magari na kutaja dau lako. Ungetafuta mtaalam unaemwamini kama alivyoshauri Extrovert ili yeye ajue analenga wapi.

Hapo hata mwenye gari ambayo angeiuza kwa 3M ataipandisha hadhi ilimradi tu akutengeneze. Namaanisha hata yule mwenye gari haitembei kabisa anaweza kukuingiza king. Uwe makini.
 
Kosa la kwanza umefanya ni kuandika wewe si mzoefu wa magari na kutaja dau lako. Ungetafuta mtaalam unaemwamini kama alivyoshauri Extrovert ili yeye ajue analenga wapi.

Hapo hata mwenye gari ambayo angeiuza kwa 3M ataipandisha hadhi ilimradi tu akutengeneze. Namaanisha haya yule mwenye gari haitembei kabisa anaweza kukuingiza king. Uwe makini.
Wazi kabisa yani watu watamjumlisha humo humo
 
Hukusoma nilichoandika?Nimeandika kuwa Honda CR-V ni gari namba mbili kwa kuuzwa zaidi Marekani na ni gari namba nne kwa kuuzwa zaidi duniani.

Uliposema kuwa barabara za marekani siyo sawa na barabara za Tanzania ndipo nikakujibu kuwa lakini ni gari namba nne kwa mauzo duniani.
Hali ya hewa mkuu it never works better hapa bongo! Hayo ma Honda nimeona several times yamechemsha highway za hapa bongo!
 
Tatizo ni kuwa mnakurupukaga yani! Huna uzoefu wa gari tafta mtu anayezijua gari ndio uende nae kununua gari! Gari ya kitonga hakikisha ni ya Toyota na anayeiuza hio gari anashida ya hela tu sio wale ambao hana hela gari imemshinda ndio anauza huwa gari zao zinakuwaga vimeo sana!

Nina best yangu juzi kanunua Mini Cooper ya mkononi ile gari kauziwa 4.5M ila iko na vipengele vya kutosha😅 yani kabla hata ya diagnosis kufanyika. Hakuomba ushauri wala nini na yeye sio mzoefu wa magari kabisa ila kwa kuwa mini cooper imekaa kibishoo yeye kaona freshi tu na vile namba ni DK.

Aliniomba nimsaidie kuiendesha toka gereji mpaka kwake maana hata leseni hana. Kilichotokea kwanza steering ni ngumu kuliko fiat mbaula 😅 yani kufika mtaani ilibidi niagize ugali mkubwa. Pia gari inasita sita ikiwa kwenye gear ya kwanza ila ikichanganya inatulia. Side mirror ya kushoto mbovu. Mguu wa nyuma unagonga yani gari iko na stiff suspension utafikiri haina shock absobers yani kama gari iliofungwa matairi kwenye chassis! Taa baadhi haziwaki yani na dashboard lights ya tire pressure sensor iko on, ya alama ya radi ipo on yani kwa navyojua BMW zilivyo pale ikipigwa diagnosis mkeka wake hautapungua 3M
 
Kosa la kwanza umefanya ni kuandika wewe si mzoefu wa magari na kutaja dau lako. Ungetafuta mtaalam unaemwamini kama alivyoshauri Extrovert ili yeye ajue analenga wapi.

Hapo hata mwenye gari ambayo angeiuza kwa 3M ataipandisha hadhi ilimradi tu akutengeneze. Namaanisha haya yule mwenye gari haitembei kabisa anaweza kukuingiza king. Uwe makini.
Huna ulijuwalo, kwenye biashara ya magari unatowa offer mteja unataka gari ya bei gani, ikiletwa gari ndio mnapatana.

Mfano Land cruiser VX zipo mpaka za million 5.
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Kama una mtu unamuamini nenda naye aikaguwe Toyota spacio itakufaa sana au IST kwa bajeti hiyo unapata.

Kama uko very serious nikupeleke tukawatongoze wahindi hapo ndio unauziwa gari huwezi kuamini, wahindi hawana mambo mengi na magari muda mwingi zimepaki wapo kwenye mishe zao.
 
Nunua mark11 grand 2005 hutajutia, kwa bei iyo iyo unapata fasta chifu
 
Huna ulijuwalo, kwenye biashara ya magari unatowa offer mteja unataka gari ya bei gani, ikiletwa gari ndio mnapatana.

Mfano Land cruiser VX zipo mpaka za million 5.

Ni kweli sina nilijualo kwenye magari mkuu ila gari ya kwanza nimeanza kumiliki 2007. Ya kwanza nilinunua kwa mtu, ya pili Yad na hii ya sasa hivi niliagiza Japan.

Nilichomaanisha hata kama unatoa offer uwe na ABC za magari, ndio maana nikasema ahusishwe mtu anaeyajua magari vizuri.

Sijasema offer isitangazwe, ila ahusishe wataalam na ikiwezekana huyo mtaalam ndio awe mtangaza offer ikiwezekana aweke vigezo na masharti.
 
Kama una mtu unamuamini nenda naye aikaguwe Toyota spacio itakufaa sana au IST kwa bajeti hiyo unapata.

Kama uko very serious nikupeleke tukawatongoze wahindi hapo ndio unauziwa gari huwezi kuamini, wahindi hawana mambo mengi na magari muda mwingi zimepaki wapo kwenye mishe zao.
 
Usilogwe ukanunua magari ya wahindi ,wahindi nao ni watu .....magari mengine utasikia la muhindi ....wahindi wenyewe wabahili , Gari ni Engine wala sio namba wala inamilikiwa na nani hizo ni swaga za kishamba za madalali eti utasikia "gari ya mdada iwahi" mara mwenyr muhindi " who is muhindi by the way ???

sent from HUAWEI
 
Ona mjinga huyu, kwa uwelewa wako mdogo unadhani wahindi wana mambo mengi na magari?

Utafananisha gari Muhindi na mchaga ambaye kila msiba anaenda na gari Moshi? Hapo bado December kwenda kuhesabiwa.

Nilichogunduwa hapa JF kuna wajinga wanaodhani wanajuwa kumbe hawajui kama hawajui.

Achana na hao wahindi, mtu yeyote anayetumia gari kwenda ofisini na kupaki mpaka jioni anarudi nyumbani almost hiyo gari itakuwa kwenye good condition kama anafuata ratiba za service.

Inaonekana una chuki na wahindi lakini huwezi kuubadili ukweli huu, ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
 
Nakataa.

Hakuna mtu anatunza gari kama muhindi.

Gari inatoka Upanga kwenda Kisutu mwaka mzima. Weekend atajikongoja kwenda coco beach na familia.

Hao jamaa wanajua kutunza vyombo vya moto.

Labda umkute 1 kati ya 10 ndio hatunzi chombo chake inavyotakiwa.
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
kama upepo upo ruka na io Subaru sf manual

IMG-20211008-WA0131.jpg

IMG-20211008-WA0136.jpg

IMG-20211008-WA0133.jpg

IMG-20211008-WA0130.jpg

IMG-20211008-WA0134.jpg

IMG-20211008-WA0135.jpg
 
Ona mjinga huyu, kwa uwelewa wako mdogo unadhani wahindi wana mambo mengi na magari?

Utafananisha gari Muhindi na mchaga ambaye kila msiba anaenda na gari Moshi? Hapo bado December kwenda kuhesabiwa.

Nilichogunduwa hapa JF kuna wajinga wanaodhani wanajuwa kumbe hawajui kama hawajui.

Achana na hao wahindi, mtu yeyote anayetumia gari kwenda ofisini na kupaki mpaka jioni anarudi nyumbani almost hiyo gari itakuwa kwenye good condition kama anafuata ratiba za service.

Inaonekana una chuki na wahindi lakini huwezi kuubadili ukweli huu, ukweli utabaki kuwa ukweli tu.
Huwezi kumjibu mtu bila kutoa maneno ya kashfa?
 
Nakataa.

Hakuna mtu anatunza gari kama muhindi.

Gari inatoka upanga kwenda kisutu mwaka mzima. Weekend atajikongoja kwenda coco beach na familia.

Hao jamaa wanajua kutunza vyombo vya moto.

Labda umkute 1 kati ya 10 ndo hatunzi chombo chake inavyotakiwa.
Ha ha ha wahindi wengine hizo gari usiku kucha zinakamuliwa mitaa ya Masaki kule
 
Back
Top Bottom