Nina 5,000,000 tu. Naweza kununua gari ipi ikiwa na hali nzuri?

Mbona wewe Una Crown 2GR?!!
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?
Tulia unapata ist nzuri tu cha msingi uwe na connection watu wengi wanauza magari. Hata vits new model unapata kwa hela hiyo upo mkoa gani. Usikatishwe tamaa mwingine hata ndoto ya kununua baiskeli hana.
 
Hizo gari ulizotaja ni mahususi kwa vijana wasio na vision sio?
 
Mwache aingie huko akili ichangamke pia atakuwa na discipline
 
Waungwana nimechoka kutembea kwa mguu, Nina ka milioni 5 nilitaka nitafute ka miguu minne nipumzike shida kutembea, ila sina uzoefu na mambo ya magari ni aina zipi za magari naweza kununua ikiwa na hali nzuri kwa hiyo bei?

Hakikisha kujenga urafiki na mafundi usije kufanana kuanzia wewe, gari na mafundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…