Nina 65M nifanye biashara gani?

Nina 65M nifanye biashara gani?

Anahitajika partner kwenye kiwanda kidogo kinachotahitaji upanuzi, njoo pembeni kwa maekekezo kufika kiwandani hapa mbezi makabe kwa maongezi.
Kiwanda kimoja kimekufa njia ya Ifakara Kinaitwa udzungwa drinking water,Maji yanaonekana tokea mlimani yanashuka na gravity lakini kiwanda.kimekufa wakati afya walipo sijaona hata dalili ya mto mkubwa wa uhakika lakini kiwanda kinapeta na maji yako nchi nzima,I mean maji ya Afya
 
Biashara yoyote ya uzalishaji, lazima ujipange kwenye usambazaji, bei(agent, jumla, rejareja) na masoko (distribution, supply, marketing and pricing)
Maji ya udzungwa ni mazuri sana na ubora ila walifeli kwenye masoko, usambazaji n.k
Lazima uajiri wafanyakazi Bora kwenye masoko na usambazaji

Ndio maana akina MO, Bakhresa, Afya, jambo foods, hill water, dew drop, wanahangaika kununua malori ya kusambaza bidhaa

Pia matajiri wanahangaika sana na masoko
Hao kwenye masoko , Afya walikuwa wadhamini wa Yanga kipindi fulani, pia afya wanamlipa pesa ndefu mno millard ayo ili awatangazie mitandaoni.
Matajiri wengi wa ngozi nyeupe ni wazoefu kwenye biashara wanajua hizo mbinu zote.
 
Hizo m65 ulizipataje bro hadi usijue nini uzifanyie?

Unaishi wapi ili upewe ideas kulingana na eneo ulipo.
Binafsi nilikuwa na maswali kama yako, juu ya watu wa aina hiyo mitandaoni. Siku moja nilikutana na mtu wa aina hii kwenye maisha halisi, nilielewa kwa nini wanafanya hivyo.

Kuna watu Mungu anawajaalia wanakutana na pesa nyingi za ghafla
1. Pesa ya urithi
2. Pesa ya mirathi
3. Pesa ya madini(dhahabu e.t.c)
4. Pesa ya fidia
5. Pesa ya pensheni
6. Biashara usioiamini kabisa inatoa pesa nyingi mno, upepo wa pesa unabless biashara
7. Pesa ya Masponsor/Mashangazi
8. Umedunduliza pesa kwa muda mrefu, bila lengo lolote
9. Pesa ya upigaji
10. Pesa ya madili haramu
11. Pesa toka kwa wazazi, hii ni kitu cha kawaida mno kwa watoto wa kishua au watoto wa watu wazito ambao hawataki watoto wao wahangaike kuzungusha bahasha za CV za kuomba kazi, ndio maana sikuhizi mitandaoni watu wanaulizia business ideas, Instagram, Twitter X, Facebook, TikTok hata JF

12. Pesa inaamua ghafla KUKUTEMBELEA

Mtu wa aina hiyo, pesa ikija lazima ahangaike kuomba ushauri nini afanyie pesa.
 
Dah Sir God anibless na mimi jamani.... Nikizipata nijisapraizi 😹
 
Back
Top Bottom