Nina 65M nifanye biashara gani?

Nina 65M nifanye biashara gani?

Nunua hati fungani kama unayo hela ya kula kidogo kidogo au jenga gesti vyumba vyako vitano, chumba elfu 10 au hata elfu 5. Wazinzi ni wengi watakuja na hawalali utakula hela hadi ushangae.Usisahau kuweka kamera na ikibidi itumie solar wajinga huwa wanazima umeme wakipige.
 
Kaka biashara gani. Idadavue tafadhali
Chuma chakavu bei ya kuuzia kiwandani ni 1m kwa tani
Mabaki ya aluminium bei ya kuuzia kiwandani ni 5M kwa tani
Battery mbovu za magari bei ya kuuzia kiwandani ni 2.7M
Tairi mbovu bei ya kuuzia kiwandani ni 150K kwa tani
Bado kuna copper brass chuma dongo nknk Na ukiwa na mzigo haulali unagombewa
Mchongo umekaa poa huu sema namna ya kupata mzigo sasa
Mizigo ipo ya kutosha sana hata hapa JF ukiweka Tangazo unapata
 
Chuma chakavu bei ya kuuzia kiwandani ni 1m kwa tani
Mabaki ya aluminium bei ya kuuzia kiwandani ni 5M kwa tani
Battery mbovu za magari bei ya kuuzia kiwandani ni 2.7M
Tairi mbovu bei ya kuuzia kiwandani ni 150K kwa tani
Bado kuna copper brass chuma dongo nknk Na ukiwa na mzigo haulali unagombewa

Mizigo ipo ya kutosha sana hata hapa JF ukiweka Tangazo unapata
Huu mchongopesa tunafanyaje sasa
 
Mkuu tuanze kwanza na wewe binafsi unauzoefu wa biashara, pia una penda biashara za aina gani ,kushalisha bidhaa na kuuza kwa jumla au kuuza bidhaa rejareja, au unapendelea biashara za utowaji huduma ,mf upangishaji nyumba, uwakala,usafirishaji ukijuwa itakuwa rahisi kukushauri ufanye Biashara gani
 
Hela yote hyo umeizalishaje hadi utuombe ushauri cc wan lak 3

Njoo kusini tununue korosho ata 15M tuu nyingne chukua ushaur kwa wengine
 
Fuga nguruwe mkuu hio million 65 n mtaj wakunenepesha nguruwe 650,, TAFUTA HELA YA KUNUNUA NGURUWE 65 majike yenye mimba na kila jike lisipungue chuchu 10,, ktk unenepeshaji wa hao 650 n zoezi la miez 4 unenepeshaji,, miez 3 mimba na miez 4 niku wanenepesha,,, mkuu hakuna atakaye kuwa chin ya uzito wa 55 kwa breed ntakayo kushauri tuchukue chek profile lang hapo hio breed n konkiii,, mm huk nakoish hesabu ya jumla bei ya soseji kiwandan TUNAUZA SH 7500,, hesabu yet sasa 7500×55kg=412500 hapa n kwa 1 sasa twende kwenye uwekezaji wetu 412500×650=268125000 mkuu upo serious ntafute nikupe location NGURUWE UHAKIKA
 
Je kwa mtu ambae hana mtaji kama huu. Anaweza kuanza na mtaji kama kiasi gani? Asante
 
IMG_20240919_120412_597.jpg
nenda china au Dubai katuletee hizo simu harafu nitakuelekeza pa kwenda kuuza cash...! Nina uzoefu wa soko la Dubai ikikupendeza nicheck tufanye kazi
 
Chuma chakavu bei ya kuuzia kiwandani ni 1m kwa tani
Mabaki ya aluminium bei ya kuuzia kiwandani ni 5M kwa tani
Battery mbovu za magari bei ya kuuzia kiwandani ni 2.7M
Tairi mbovu bei ya kuuzia kiwandani ni 150K kwa tani
Bado kuna copper brass chuma dongo nknk Na ukiwa na mzigo haulali unagombewa

Mizigo ipo ya kutosha sana hata hapa JF ukiweka Tangazo unapata
Eeh
 
Weka UTT million 60 mfuko wa bond uwe unalipwa laki 5 kila mwezi huku ukiendelea kujiuliza cha kufanya.
Ukipata cha kufanya chukua 3M kwenye Ile 5M iliyobaki kama mtaji wa kijifunzia soko siku ukiimalika kibiashara utajua cha kufanya
Kikubwa tengeneza security ya pesa yako maana NI rahisi Sana kupoteza million 50 hata Kwa siku ila inahitaji maarifa makubwa kuizalisha mia
 
Back
Top Bottom