Uwe makini na PM YakoWandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Nishimura dar na dodoma.
Ujasikia kana wajina kawambiaa zile oil n za baraka alianza kuzitumia dk seriously na ndio zizlikuwa zinasaidia ma Black wasipate ukimwi wakinywa na kusaidia wadada kwa nyweleeee napitatuUmesahau kuweka dawa ya biashara Pdidy, achanganye majani ya nini na nini
Evelyn fursa hioò unamuliza katoa wapi atabadili na I'd mkaishia kutoa mawazo anacheka kwa hilo swali bakwambia ningetoa na betri kwa mda lohUmesahau kuweka dawa ya biashara Pdidy, achanganye majani ya nini na nini
Mie nipe dawa ya biashara ndo nifuge hao kitimoto, na unipe na dawa ya kuwalinda make nimezungukwa na wazee wa kizaramo.Evelyn fursa hioò unamuliza katoa wapi atabadili na I'd mkaishia kutoa mawazo anacheka kwa hilo swali bakwambia ningetoa na betri kwa mda loh
Unataka nikuelekeze bagamoyo uka double mzigo ulionao??Mie nipe dawa ya biashara ndo nifuge hao kitimoto, na unipe na dawa ya kuwalinda make nimezungukwa na wazee wa kizaramo.
P did ?? Umesemaa yooteee safiiFuga kitimoto
Abzisha maduka ya kitimoto
Fungua sehemu za kuchoma kitimoto
Utakujaniambia usigope kuibiwa kama unaona faida
Akikomaaaa na hizojuuu anakuwa milioneaP did ?? Umesemaa yooteee safii
Fanya biashara ya waste.. Haina hasara hasa chuma chakavu na aluminiumWandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Nishimura dar na dodoma.
Mpwaa chuma ina hela nailia resi mda si mrefu nafanya vyumba vya kupanga sehemuya store za hizi mambooFanya biashara ya waste.. Haina hasara hasa chuma chakavu na aluminium
Mmmmh mmmmh inbox tenaMkuu,Nashangaa sana watu ambao mnakuwa na Pesa lakini hamna wazo la aina ya shughuli za kufanya ili zizae zaidi?Kanuni ya Pesa ni Rahisi.Either wewe uifanyie Pesa yako Kazi au Pesa yako ikufanyie wewe Kazi.Either way hakunaga Ushauri wa Jinsi ya Kupata au kutumia Pesa Unaotolewa Bure.Ukiona Unapewa Ushauri Bure Ujue kabisa Unaenda Kupoteza Pesa.Ukiona Unaitiwa Fursa Ujue wewe Ndio Fursa.
Sasa kama wewe unauhitaji wa wazo zuri la Biashara nitafute kwa Email:masokotz@yahoo.com Ili tutengeneze namna ya kuongeza Hizo Pesa zako.Kumbuka Huduma Hii sio Bure na Ushauri wowote Utakaopewa Unaweza kuwa na RISK.Ila chochote nitakachokushauri kitakuwa ni Halali na Uhakika na Unaweza kutengeneza hadi faida ya 30% kwa mwaka.
Tayari mambo yamekuwa mambo.Njoo PM nikulize ulie kilio cha milio 60
Kama uko hapa Dom njoo pm fasta nicheck tuwekeze kwenye biashara ya majeneza inalipa sana na ndio biashara naikubali kuliko hata kuuza magari!Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Nishimura dar na dodoma.
Fanya biashara ya waste.. Haina hasara hasa chuma chakavu na aluminiumWandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Nishimura dar na dodoma.
Mpwa fanya uwezekano uwezavyo tuonane.. Imagine waste scraps ya aluminium kwasasa ni 5M+Mpwaa chuma ina hela nailia resi mda si mrefu nafanya vyumba vya kupanga sehemuya store za hizi mamboo
Kuna wachina maeneo ya mwenge nawaulizia kila jamaa ninaetaka nidili nae anasema huko hatakiwi kumwonyesha mtu dah
Mkuu,kwani wewe inbox huwezi kuja?Hayo mawazo ambayo yakiwekwa hapa yatakusaidi ni yapi?Una milioni 65 wewe?Unafahamu jinsi ya kukokotoa Future Value ya Milioni 65 kwa kutumia GDP Rate,au Interest Rate ya BOT au Standard Industrial Rate of Return au IRR?Unafikiri kukaa na mtu na kujadiliana nae pamoja na kumpa Taarifa zitakazomasaidia kutengeneza Faida ni kushinda ni Jambo la kuweka JF?Mmmmh mmmmh inbox tena
si angekuja huko
yuko hapa anataka muweke hapa hayo mawwazo na wengine wasaidike
nunua mazao mwisho wa msimu uje kuuza miezi 3 baadae. Faida utaipata mara 3Wandugu nina 65 M. Naombeni idea ya biashara asante. Nishimura dar na dodoma.
Ngoja tanroads wakikaaribia kujenga barabara moja ntakuchk mpwa wanapita na sisiMkuu,kwani wewe inbox huwezi kuja?Hayo mawazo ambayo yakiwekwa hapa yatakusaidi ni yapi?Una milioni 65 wewe?Unafahamu jinsi ya kukokotoa Future Value ya Milioni 65 kwa kutumia GDP Rate,au Interest Rate ya BOT au Standard Industrial Rate of Return au IRR?Unafikiri kukaa na mtu na kujadiliana nae pamoja na kumpa Taarifa zitakazomasaidia kutengeneza Faida ni kushinda ni Jambo la kuweka JF?
Jitahidi basi Unicheck PM as long as una Milioni 65 Pia ili na wewe unufaike na Utaalamu wetu
Unipe zile dawa zako za kuchanganya changanya majani....afu unasemaga baadae tutakushukuru.Unataka nikuelekeze bagamoyo uka double mzigo ulionao??