Nina 65M nifanye biashara gani?

Huyu Mungu kwanini asitupe na wengine??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nunua hati fungani BOT!
UKAE HOME USIBIRIE FAIDA NA MTAJO UKIWA HAUPUNGUI.
Sio rahisi kama unavyouelezea, hati fungate inataka uwekeze hela nyingi na angalau umri uwe umesogea ili uweze kuitegemea.
Returns za 65 milions kwa mwaka inaeza kuwa around 6 to 7 millions, sio realistic kwa mtu mwenye energy ya kutafuta pesa
 
Biashara ziko nyingi kwa hio pesa sasa Jambo la muhimu la kwanza una nizamu ya pesa kwa hio biashara unayotaka kuianzisha Cha pili una idea yoyote ya biashara na msimamozi wa hio biashara unayotaka ni nani? Na anaweza Kawa siriazi na hio biashara ikaenda vizuri na ikawa kubwa sehemu unayoweka biashara ni nzuri na wateja wako wataipokea vp na wateja wako wanataka nini na huyo mtu utakaemuweka atakuwa na kauli nzuri kwa wateja mkuu nimejaribu kukupa hayo Mimi Niko kwenye biashara mwaka wa pili huu na kukujaribu kukushauri hio biashara unayotaka lazima usimame kama wewe kwa nzia kwenye manunuzi mpaka uuzaji na ukijaribu kumpa mtu mkuu nazani utakuja kuleta mresho hapa
 
Viwanda vingi vinakufa kwa kukosa strategy na model nzuri za mauzo. Kiwanda changu kinalenga eneo la walaji lililosahaulika, nina model yaki
pekee ya usambazaji. Karibu kwa mazungumzo zaidi, ni hatari kuzungumza kila kitu hapa.
Hatuzalishi maji japo bidaa inahusiana a maji
 

Kaka biashara gani. Idadavue tafadhali
Chuma chakavu bei ya kuuzia kiwandani ni 1m kwa tani
Mabaki ya aluminium bei ya kuuzia kiwandani ni 5M kwa tani
Battery mbovu za magari bei ya kuuzia kiwandani ni 2.7M
Tairi mbovu bei ya kuuzia kiwandani ni 150K kwa tani
Bado kuna copper brass chuma dongo nknk Na ukiwa na mzigo haulali unagombewa
 
Mchongo umekaa poa huu sema namna ya kupata mzigo sasa
 
Bond ni asilimie 12 kwa mwaka.. sasa kwa 65M ni 7.8 M hiyo biashara kichaa.
Biashara kichaa kwanini na risk ya mtaji kupotea ni below 5%. Yaani upokee faida ya zaidi ya laki tano kila mwezi na uhakika wa kutopoteza mtaji halafu iwe biashara kichaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…