binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Sijajua kwingine Ila Kwa Baadhi ya maeneo niliyofika dar naona inaongoza Kwa changamoto Hii hasa Kwa vijana hasa hawa wanao bet.Ila samahani kidogo hii ishu imekuwa serious sana .Nyuzi kibao zimerindima kuhusu huu ulemavu wa kupoteza kusikia sijui tatizo ni nn!?
Wengi hawakuzaliwa na tatizo hilo , changamoto mbalimbali wanapata katika kuendea fursa mbalimbali .
Cc Mheshimiwa Dkt. Gwajima D
Mkuu, mbona TV ipo nyuma ya sofa una Nia gani na wageni wako?Unaweza kunibadilishia cover mpya kwa hizi sofa na utanifanyia bei gani? Cherehani ipo nyumbani so unakuja kufanyia kwangu na itachukua mda gan? Ni imported so nataka kazi nzur kitambaa nnacho mwenyewe
Ukisikia nyumba ya mwanaume ndo hioMkuu, mbona TV ipo nyuma ya sofa una Nia gani na wageni wako?
Just asking tu 😅
Mbona kama umerusha jiwe gizani? 😎Ukisikia nyumba ya mwanaume ndo hio
Viatu juu ya kitanda, tv nyuma ya sofa vyombo stoo...
Sijakusema wewe😂Mbona kama umerusha jiwe gizani? 😎
Kwani nani kasema umenisema Mimi? 😅Sijakusema wewe😂
🏃🏃🏃🏃🏃🏃Ndo unakoelekea
si hizo hapo juu mkuu au hujaziona?Mungu akusaidie,ila ungeweza kuweka na picha kidogo za kazi ulizowahi kufanya za sofa itapendeza sana
Shukran mkuu nimeshaomba kubadilishaPole kwa changamoto ndugu yangu... Kingine nikushauri hiyo ID yako ya jina fanya ubadilishe kwako unaweza sema haina maana ila kwetu inamaana kubwa tunakutafisri kulingana na ID ya jina lako
Asante dadanguHongera sana , Mungu akusaidie upate ofisi yako.
Mimi nina mdogo wa 24 years, Kwahiyo huwa nikiona kijana anajipambania mawazo huwa yanaenda mbali sana!
Betting na usikivu hafifu vinaendana vipi mkuu?Sijajua kwingine Ila Kwa Baadhi ya maeneo niliyofika dar naona inaongoza Kwa changamoto Hii hasa Kwa vijana hasa hawa wanao bet.
Asante nishapoa mkuu, kwa sasa nipo ila kama kuna fursa sehemu yeyote nafika. Kuhusu gharama ni mpaka tukae tujue tunataka kuanza vipi na inategemea na eneo husika.Pole sana mdogo wangu , uko mkoa gani ? Je mtu akihitaji kuwekeza kwako inahitaji kiasi gani ili biashara iende ? Je ulipo unaweza kuhamia sehemu nyingine ? Ni hayo rafiki .
Ila hilo jina ungebadili maana wengi tutakutafsiri vibaya kuwa wewe ni mtu wa mshedede hivyo hata kazi utaleta mambo ya ushedede .
Mfano mimi hili jina langu kuna kiumbe alidhani mimi ni pastor masikini hata asipitie komenti zangu na nyuzi ili ajue ni kiasi gani sifai katika jamii , eti ananiomba ushauri wa mambo ya kiroho mlevi mimi mwisho tuliishia kwenye kuta nne bila kuelewa ilikuaje yaani.
Asante nitafanyia kazi ushauri wakoI feel you brother pole sana. Daaah. Naelewa ushajaribu mengi kuwa sawa. Sema kipande cha kazi. Nikuombe pambana online. Tena ukiweza una simu nzuri fungua insta account tangaza biashara yako. Jiamini tena waambie watu wewe mtu wa aiina gani, tunahuruma sana watanzania.tutakusaidia
Mkuu samahani, napenda sana kujifunza kupitia maandishi yako.Mkuu, mbona TV ipo nyuma ya sofa una Nia gani na wageni wako?
Just asking tu 😅
Haupo tena mkuu, ulifutwa.Mkuu samahani, napenda sana kujifunza kupitia maandishi yako.
Sasa kuna uzi wako ulifungua juzi hapa nautafuta tena siuoni niliishia portion ya tatu hivi, imekuaje?
Pole sana, shida ilikuwa nini hasaHaupo tena mkuu, ulifutwa.
Niliomba waufute. Kuna mambo yalijitokeza mkuuPole sana, shida ilikuwa nini hasa