Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

Nina commission ya laki Moja kwa mtu atakae nipa KAZI ya laki tatu na nusu mpaka nne.

Nakupa kazi ya laki mbili na nusu upo tayari?
 
Achana na hiyo laki yako, piga kazi mpaka ulimwengu ukuchukie. Sajili watumiaji wa app, ukifikisha watumiaji 100,000 unalipwa milioni 50.​
 
Back
Top Bottom