stevoh
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 2,921
- 1,107
Naombeni niwe refa ugomvi ukitokea jamani.
unachezesha kwa stail gani??
Kiki boksa
au boksing
au reslin
Naombeni niwe refa ugomvi ukitokea jamani.
Mi sijamuchokoza alisema mwenyewe humu humu wakati alipomba apewe tafsiri ya Ukubwa Jalala au nasema uongo Baba V,
Watu8 we mwenyewe shahidi
unachezesha kwa stail gani??
Kiki boksa
au boksing
au reslin
bvfhfkkkiuryycnnfhhhsgvcnnshhsggttryrujjnbbhfgggggafafaddsrretettyydhhdnncjjcm,,,mmmxnbbshhh
Dr. Love mbona umeandika mambo yasio eleweka
Hahahahaha kelele za chura hizo,na kama angekuwa mgombea wa kenya yeye angekuwa mudavadi,kama ni wa tanzania basi dovutwa.
sijamuelewa mtoa mada... nashangaa amenipa copy wakati mimi humu nipo single.... namshangaa sana eti
Hilo penzi gani haliimariki siku zooooote?Kopi: The secretary na Madame B,mnawaona wanga hawa wasiotutakia mema? Sisi tukazane kuimarisha penzi letu,wenye husda kama Erickb52 na Ben Saanane mpaka viwashuke.
Lengo langu la kukupa nakala, nimpango mzima wa kukutaka wewe uungane na mimi kufanya mapinduzi wakati wako wa kuwa singo umekwishwa ungana nami katika kampango haka ka operesheni pindua majimbu
Lengo langu la kukupa nakala, nimpango mzima wa kukutaka wewe uungane na mimi kufanya mapinduzi wakati wako wa kuwa singo umekwishwa ungana nami katika kampango haka ka operesheni pindua majimbu
Kopi: The secretary na Madame B,mnawaona wanga hawa wasiotutakia mema? Sisi tukazane kuimarisha penzi letu,wenye husda kama Erickb52 na Ben Saanane mpaka viwashuke.
mimi naheshimu sana ndoa za watu humu... nlishaingila ya Marejesho na Filipo but baadaye nkaamua nijitoe baada ya Filipo kuniomba sana nimuachie mkewe