Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
hawatuweziii uuuuye hiiii hawatuweziii
Kwani tunashindana?
Hebu tutolee mipasho yako hapa.
hawatuweziii uuuuye hiiii hawatuweziii
khaaa huu ni ukatil kaka.
Hahahhahaa dawa kweli ni kuengua kifanyiohahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
Naombeni niwe refa ugomvi ukitokea jamani.
Nitaangalia necha ya wapiganaji nikishaiona ndio nitachagua nitumie staili ipi,kura yako tafadhali.
hahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
bvfhfkkkiuryycnnfhhhsgvcnnshhsggttryrujjnbbhfgggggafafaddsrretettyydhhdnncjjcm,,,mmmxnbbshhh
hahahah....refa hatakiwi hapa aisee!!!
Duuuh naona wapiganaji hawapo na kazi hauna. Senki yu fo patisipashen.
Kwani tunashindana?
Hebu tutolee mipasho yako hapa.
Hahahhahaa dawa kweli ni kuengua kifanyiohahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
Hebu tutafsilie kwa kiswahili maana akina watu8 tuko wengi humu
Kopi: The secretary na Madame B,mnawaona wanga hawa wasiotutakia mema? Sisi tukazane kuimarisha penzi letu,wenye husda kama Erickb52 na Ben Saanane mpaka viwashuke.
Yaani we next baada ya Erickb52 kjupinduliwa you are next.
Marejesho is no. 2 on the list Mrembo jiandae kuhamia zis wai
Kazi kweli kweli angalia tusije kutana maana Marejesho yuko namba 2 kwenye listi yangu, kijana angalia sana, Filipo mwenyewe kani PM akijisalimisha. Akesema mapamabno hawezi hivyo ni jinyakulie ushindi, Marejesho beibe zis wai
mimi naheshimu sana ndoa za watu humu... nlishaingila ya Marejesho na Filipo but baadaye nkaamua nijitoe baada ya Filipo kuniomba sana nimuachie mkewe
Nasikia harufu ya damu!