Nina Furaha Kubwa Saaaana, kuwajulisheni wana CC.......

Nina Furaha Kubwa Saaaana, kuwajulisheni wana CC.......

Mabibi na Mabwana wa nchi ya chit chat, ninayo furaha kubwa sana kuwatangazieni ya kwamba ninavumbua rasmi operasheni ya pindua CC couples, hivyo basi kwa wale me wote amabao mmeshikilia majimbo kwa muda mrefu wakati wenu umefika,

Ni saa ya mapinduzi sasa maana naona vile vipengele vilivyopenedekezwa kuwa kwenye katiba ya nchi ya cc vinavyo husu ndoa za mikataba havipitwishi kwa wakati.

Top 10 ya majimbo ya kuanzia itawajieni hivi punde..

nakala kwa:

Baba V, Wat8, arushaone, Nicas Mtei, Judgment, Erickb52, Filipo, Bishanga, St. Paka Mweusi, Chimbuvu, Tanmo na wengine wotw

Watu kwa taiming hamjambo, mmetegea tu Baba V kapigwa ban mmeibuka na yenu fasta, I hope watu8 na gfsonwin wata du ze nidful katika hili..
 
Last edited by a moderator:
Sefet usiniseme mzazi mie, utafanya nipaliwe na supu jaman lol.

Kwani lovely sis charminglady nae kamkimbia shemeji @C6? Sina taarifa mie
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom