Nina Furaha Kubwa Saaaana, kuwajulisheni wana CC.......

khaaa huu ni ukatil kaka.

hahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
 
hahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
Hahahhahaa dawa kweli ni kuengua kifanyio
 
Duuuh naona wapiganaji hawapo na kazi hauna. Senki yu fo patisipashen.
Nitaangalia necha ya wapiganaji nikishaiona ndio nitachagua nitumie staili ipi,kura yako tafadhali.
 
hahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...

kwel izo trick ni za muhimu sijui unazipatiaga wapi. Haya bhana...
 
hahaha sio ukatili kaka...mmaasai mpokonye SIME au mjeda mpokonye bunduki...huo ndio mwisho wa habari yao.
sasa na wakware kama hawa tunaengua tu kifanyio tuone hizo vurugu kama zitaendelea...
Hahahhahaa dawa kweli ni kuengua kifanyio
 
Yaani we next baada ya Erickb52 kjupinduliwa you are next.

Marejesho is no. 2 on the list Mrembo jiandae kuhamia zis wai

Naona unamatatizo ya kimaumbile! Nitakihamishia kifanyio chako kwenye paji la uso ukose pakuvalia pichu!
 
Kazi kweli kweli angalia tusije kutana maana Marejesho yuko namba 2 kwenye listi yangu, kijana angalia sana, Filipo mwenyewe kani PM akijisalimisha. Akesema mapamabno hawezi hivyo ni jinyakulie ushindi, Marejesho beibe zis wai

Nimeamini wale wanaosema kwamba mtu huwa anatambua anapokaribia kufa!! Naona Iziraeli anakunyemelea
 
mimi naheshimu sana ndoa za watu humu... nlishaingila ya Marejesho na Filipo but baadaye nkaamua nijitoe baada ya Filipo kuniomba sana nimuachie mkewe

Hah hah hah hah!!! Wife anavyonipenda, sihitaji kuandikia mtu PM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…