Wakuu natumaini mko poa.
Mimi ni graduate, jinsi Ke, nimemaliza mwaka 2022 degree ya Human Resource Management kwa ufaulu wa GPA ya 4.1.
Kabla ya kuhitimu nilishawahi kufanya practical training (field) kwenye taasisi ya serikali, hivyo nina ujuzi wa karibia miezi mitano.
Pia mwaka 2023 nilibahatika kupata kazi ya afisa masoko (ambayo ni nje ya career yangu) ambayo kiukweli ilikuwa na changamoto nyingi mno zilinipa stress nyingi plus mshahara mdogo mno unaoishia kwenye nauli.
Naomba yeyote mwenye connection ya kazi ya human resource anisaidie au hata kama una kampuni au unafanya kazi kwenye kampuni na ina uhitaji wa human resource/assistant human resource nipo tayari kufanya kazi.
Nina uwezo mzuri wa kufanya kazi (analytical and technical).
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa kila mmoja atakayesoma uzi huu.
Email: lovenessmartin0@gmail.com