Nina gundu, wanaume hawanitongozi

Ungekuwa umeainisha vigezo ulivyo navyo na vya Me umtakaye, saivi wangeshajaa pm
 
Rusumo kulima Tena,
Basi sawa kama nawaona na baby wako cute msangi kwenye tractor 🀣
Teh! Teh! kuna aina nyingi za kilimo kuna kile cha baba na mama 6*6 na kile cha kufuga ankore,freshian na pia local trips Rusumo to Rwanda kwa watoto wazuri wenye squirts zao uwiiiiii nisife mapema
 
nitumie picha ya maziwa yako pm nione shida iko wapi?
 
Hii nchi ina vijana wa hovyo, mnapomwambia aje pm kwan kasema anaitaji mpenzi.

Anyway

Kama umechoka upweke anza kwenda kanisani, vijana wa ovyo wote wanaojificha kwenye kivuli cha kusali wapo uko tena ikibidi anza kuimba kwaya [emoji38]
 
umshukuru Mungu katoe sadaka anakuepusha na uzinzi
 
Wanawake wa usangi mnajijua mlivyo
 
Mwanamke asipotongozwa zaidi ya mwezi na mwanaume mpya tayari ilo ni tatizo kubwa. Maana yake haonekani, amekosa mvuto, hakumbukwi, hana ushawishi. Chakula kikuu cha mwanamke ni attention.

dah, noma sana, ndo ndoa za siku hz inakua ngumu sana kuzi handle.
 
Relax mtoto,utapata tu mtu mwenye heshima yake,tembea kama vile tayari una mume,mambo yatajipa tu
 
Inatokeaga.....ukiwa single unahitaji kuzama penzini hawapo, ukiwa kwenye penzi zito na mtoto wa mtu yani watu wanakuja kama wameletwa na upepo, hata ukitembea mmeshikana utashangaa mtu anakukonyeza....
Anyway mzabzab come zis wey
Whatsa happening here? Wanaume hawamtaki 🀣🀣🀣🀣
Ngoja niende pm nikajaribi bahati yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…