Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nipo naimba hapa πππunanichokoza ila nakusamehe kwa neema ya Bwana
tuimbe wimbo namba 116 'Bwana u sehemu yangu'
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo naimba hapa πππunanichokoza ila nakusamehe kwa neema ya Bwana
tuimbe wimbo namba 116 'Bwana u sehemu yangu'
Sawa Pastor Tlaatlaah.hapana sio sahihi
we jamaa mnafki sana, nakumbuka juzi juzi tu hapa ulikua unawasimanga wadada nyuchi zao zinatema, labda kama umeokoka hivi karibunihapana sio sahihi
Kumbe unamtumkia bwana hahahaaaa sikukuelewa vizuri hapo awali na sasa nimekuelewa.ninasonga mbele na bwana wa majeshiiiiii
Oohh hallelujah.....
Huenda ya mtajwa inanukiawe jamaa mnafki sana, nakumbuka juzi juzi tu hapa ulikua unawasimanga wadada nyuchi zao zinatema, labda ukama umeokoka hivi karibuni
kaona lamomy kafunga PM ikabidi aje na gear ya uchungajiπ€£Ndio maana wanatulalamikia wanaume waongo,bwana Tlaatlaah ndio mwenyekiti wetuπ€£
ππππ hiyo hatareee sasaHakya nan ntaomba kwa boss wa pale hotelini tukague CCTV maana hanaga noma ananijua mzuri nlikuwa nikichukua mzigo najaza kenta
Niko winja winja humu mbnapoa tuu huonekani mpenzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unayawezaaa.[emoji23][emoji23][emoji23] Kumekucha
Hivi makamanda wenzangu mbona hamnipendi? Au ndio mko busy na kuipambania katiba mpya?
Kila siku mimi napendwa na vijana wa Mama Kizimkazi!!! Why? Makamanda mnaniangusha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
CCM wananibeba hivyo ooh!!!
Kwako baba mtumishi Tlaatlaah
Nashukuru kwa kunipenda ingawa sijui umenipenda na umevutiwa na kitu gani na mimi? Sio kesi hata mimi NAKUPENDA km Yesu alivyolipenda kanisa. UPENDO WA AGAPE
Mahusiano na ndoa ni jambo jema, hata vitabu vya Mungu vinatuasa mtu mume na mtu mke waungane wawe mwili mmoja ili waijaze dunia. Ndiomana hata Mungu alivyomuumba Adam hakuona sahihi akamletea msaidizi ambaye ni Hawa ( Ambao ndio sisi kina Lamomy)
Ahsante kwa upendo na mapenzi yako makubwa uliyoonyesha kwangu.
Najua mpaka kuamua kuja na uzi km huu ulichukua muda mrefu kujipanga na kujiandaa hukukurupuka!!! Kuna kitu kilikusukuma moyoni mwako. [emoji120]
Sasa baba mtumishi pamoja na yote hayo mwenzio mimi mpenzi wa mtu na mpenzi wangu yupo humu humu tena mwana CCM mwenzio. Nampenda kuliko maelezo.
Sina haja ya kumficha anaitwa Countrywide mwenyewe nimezoea kumuita Kantry nampenda chugga man wangu. Samahani kwa kusema haya.
Mwisho nikuombe usikate tamaa kutafuta yule ambaye atakuwa chaguo lako na utakayempenda kwa dhati ya moyo.
Nasikia uchungu kukujibu hivi lakini ndio hivyo siwezi kumuacha nimpendaye kwaajiri ya kumfurahisha mtu mwingine.
Damu ya Yesu ikulinde baba mtumishi.
Aimen [emoji120]
Hapanaa dyadyaaUnachonitafutia nitenguliwe kiuno na shem wako [emoji23][emoji23][emoji23]
ππππ kweli?we jamaa mnafki sana, nakumbuka juzi juzi tu hapa ulikua unawasimanga wadada nyuchi zao zinatema, labda kama umeokoka hivi karibuni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niombe radhii puliiiz.[emoji23][emoji23][emoji23] wewe tena mpwa wa anko mabakuri
Kabisaa hujakosea mkuu, mke wa CountrywideKwani Lamomy sio mke wa tu
ππππ Kantry kasema anakuona unavyotaka kumsaliti na ushemeji wenu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unayawezaaa.
Mbona unamjaza matumaini baba mtumishi ππππHapanaa dyadyaa
ππππ anko kawa mpole hata sijamzoea hivi mimi!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niombe radhii puliiiz.