Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Hakya nan ntaomba kwa boss wa pale hotelini tukague CCTV maana hanaga noma ananijua mzuri nlikuwa nikichukua mzigo najaza kentaMbona tunawindana tena 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakya nan ntaomba kwa boss wa pale hotelini tukague CCTV maana hanaga noma ananijua mzuri nlikuwa nikichukua mzigo najaza kentaMbona tunawindana tena 😂😂😂
🤣🤣🤣Au cyo Mwenyekiti wa UKWATA Arusha secTuimbe wimbo namba 440 'Zaeni matunda mema'
Kazana sasa 😂Amen,
Ni katika utoto tunakua vizur kiroho
Lamony una kitu, utafika mbali. Kwa majibu Haya yaliyojaa hekima ndani yake lazima hata mimi ningevutiwa na wewe.😂😂😂 Kumekucha
Hivi makamanda wenzangu mbona hamnipendi? Au ndio mko busy na kuipambania katiba mpya?
Kila siku mimi napendwa na vijana wa Mama Kizimkazi!!! Why? Makamanda mnaniangusha 😂😂😂😂
CCM wananibeba hivyo ooh!!!
Kwako baba mtumishi Tlaatlaah
Nashukuru kwa kunipenda ingawa sijui umenipenda na umevutiwa na kitu gani na mimi? Sio kesi hata mimi NAKUPENDA km Yesu alivyolipenda kanisa. UPENDO WA AGAPE
Mahusiano na ndoa ni jambo jema, hata vitabu vya Mungu vinatuasa mtu mume na mtu mke waungane wawe mwili mmoja ili waijaze dunia. Ndiomana hata Mungu alivyomuumba Adam hakuona sahihi akamletea msaidizi ambaye ni Hawa ( Ambao ndio sisi kina Lamomy)
Ahsante kwa upendo na mapenzi yako makubwa uliyoonyesha kwangu.
Najua mpaka kuamua kuja na uzi km huu ulichukua muda mrefu kujipanga na kujiandaa hukukurupuka!!! Kuna kitu kilikusukuma moyoni mwako. 🙏
Sasa baba mtumishi pamoja na yote hayo mwenzio mimi mpenzi wa mtu na mpenzi wangu yupo humu humu tena mwana CCM mwenzio. Nampenda kuliko maelezo.
Sina haja ya kumficha anaitwa Countrywide mwenyewe nimezoea kumuita Kantry nampenda chugga man wangu. Samahani kwa kusema haya.
Mwisho nikuombe usikate tamaa kutafuta yule ambaye atakuwa chaguo lako na utakayempenda kwa dhati ya moyo.
Nasikia uchungu kukujibu hivi lakini ndio hivyo siwezi kumuacha nimpendaye kwaajiri ya kumfurahisha mtu mwingine.
Damu ya Yesu ikulinde baba mtumishi.
Aimen 🙏
Amen ndugu,🤣🤣🤣Au cyo Mwenyekiti wa UKWATA Arusha sec
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Lamony una kitu, utafika mbali. Kwa majibu Haya yaliyojaa hekima ndani yake lazima hata mimi ningevutiwa na wewe.
Pole sanamshamba_hachekwi ni zamu yako kumuanzishia uzi Ms eyes
Nitakuletea kina bamdogo km woteee 😂😂😂Tuimbe wimbo namba 440 'Zaeni matunda mema'
We sema kweli? Umekubali kuolewa 😜Aje PM basi maana nipo Singo 😁😁
Nimeona wanapigiana pasi 😂😂😂Waulize vijana wana uhakika na wanalotaka kufanya?
unanichokoza ila nakusamehe kwa neema ya BwanaNimeona wanapigiana pasi 😂😂😂
🙏 Amekuja km mjori wa Bwana hakukua na sababu ya kumjibu hovyo. Sote tunaishi dunia ambayo tunapita na makao yetu ni kwa BabaLamony una kitu, utafika mbali. Kwa majibu Haya yaliyojaa hekima ndani yake lazima hata mimi ningevutiwa na wewe.
Vijana mnatongoza mali za watu kupitia Bible verses🤣unanichokoza ila nakusamehe kwa neema ya Bwana
tuimbe wimbo namba 116 'Bwana u sehemu yangu'