Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Nitamtuma kijana wangu ahakikishe km kweli ๐๐๐Huwez nigundua labda mm nitake mwenyewe, haya kesho ukienda ulizia waiti.....kijiwe changu kilikuwaga shamba la bibi na hong Kong hotel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitamtuma kijana wangu ahakikishe km kweli ๐๐๐Huwez nigundua labda mm nitake mwenyewe, haya kesho ukienda ulizia waiti.....kijiwe changu kilikuwaga shamba la bibi na hong Kong hotel
Salimia sana hiyo Muzee,Thanks mkuu on behalf ๐
Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadakaHuyo jamaa ni nabii wa Baali mkuu ๐
Ulikuwa na mpango wa kutuma sadaka kwa nabii wa Baali?Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadaka
injili ya mwoko Yesu, itatangazwa tu katika mazingira yeyote Roho Mtakatifu atakaporuhusu itangazwe, pawe na sadaka ama hakuna tutasonga mbele,Yes!wewe ndio umeniambia jambo la maana,huyu hata tusipomwaga maji moto haulambi sadaka
Na mm natega wahuni wangu nawapanga akija mtu kuniulizia fanyeni kum-mark jioni nikija mniambieNitamtuma kijana wangu ahakikishe km kweli ๐๐๐
Mungu hutumia namna na njia mbalimbali kumfikisha mja wake anapostahili kupitia Roho Mtakatifu.We nabii wewe unanitia mashaka saanaa..kila kitu unasingizia roho mtakatifu yaani!!una janjajanja nyingii sana๐คฆ๐คฆ
Mke wa mtu sumu.mshamba_hachekwi ni zamu yako kumuanzishia uzi Ms eyes
Mke wa nan wakat kanakaa kwaoMke wa mtu sumu.
Aimen ๐Salimia sana hiyo Muzee,
Ambia yeye kwamba, Nina muheshimu sana, na kwakweli aniwie radhi kuu sana, ikiwa kwa namna yeyote ile nimemkwaza.
Nimefurahishwa zaidi na ungwana na ustahimilivu wake wa kiwango sana, na hilo limedhihirisha bayana kwamba hakika yeye ni Baba Kamili wa familia, hana papara anajivunia wewe kwa uhakika na anajiamini.
Ni katika hali ya kutokujua na maendeleo katika sekta habari, mawasilino na mitandao ya kijamii, hili limetokea kwa jinsi lilivyotokea. Hakuna jingine.
Ukweli umedhihirika na kubanika, sote tupo huru.
Tuchape kazi sasa na tusonge mbele kwa amani, Furaha na upendo....
Amen..
Zulu man ๐๐๐ we bush man unaibiwa hukumshamba_hachekwi ni zamu yako kumuanzishia uzi Ms eyes
Mbona tunawindana tena ๐๐๐Na mm natega wahuni wangu nawapanga akija mtu kuniulizia fanyeni kum-mark jioni nikija mniambie
Aje PM basi maana nipo Singo ๐๐Sawa wewe mwanamke mkubalie uolewe ๐๐๐
Tuimbe wimbo namba 440 'Zaeni matunda mema'Aimen ๐
Kweli najivunia yeye sana, ni mwanaume wa ndoto zangu na hata kwa asilimia ya wanawake wengi. Lakini hiyo neema nimeipata mimi tu Lamomy namshukuru Mungu.
Salamu zimefika na uzuri mwenzi ni muelewa hana tatizo.
ooh hallelujah...Aimen ๐
Kweli najivunia yeye sana, ni mwanaume wa ndoto zangu na hata kwa asilimia ya wanawake wengi. Lakini hiyo neema nimeipata mimi tu Lamomy namshukuru Mungu.
Salamu zimefika na uzuri mwenzi ni muelewa hana tatizo.
Roho Mtakatifu aendelea kukutakasa kabisa kwa damu azizi ya Yesu Kristo