Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Jf hujaizoea bff?? Humu wanawake wote tunaambiwa wanaume na wanaume wote wanaambiwa machoko bas tafrani ๐๐๐Mhhh Hana tabia hizi
Ukija uzi km huu unaambiwa umejifungulia bas tunaishi nao hivo hivo๐คฃ