Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Humu kuna wehu wengi sanaAnampanga mke wa mtu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kuna wehu wengi sanaAnampanga mke wa mtu!
Utajua mwenyewe!kumuendekeza nabii wako feki🤣🤣😂😂😂😂 Mitama ikianza ntakuita
We ungeomba vifungu vya kufungashia Jibu lako. Mfano : Iweni mna hasira wala msitende dhambi, tafakarini ndani ya mioyo yenu kitandani mwenu na kutulia (Zaburi 4:4) mbona Watumishi tunaelewa tuKhaaaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanakuchokoza tu shemeji!Humu kuna wehu wengi sana
😂😂😂 dada unakazia kabisa dah!Nilikuwa namzoom tu,eti oooh twende kwenye maombi ya mnyororo🤣mi nikawa najiuliza hivi huyu bwana ana agenda gani na mke wa boss wangu,,,?
***** huyu doggy kama mtu wa maana vileAl-Jumaa Kareem.
View attachment 2816324
Wala, sema tu anatumiaje muda mwingi kuandika mineno yote hiyoWanakuchokoza tu shemeji!
Upon Kumbe Lamomy!Aimen 🙏
😂😂😂😂Humu kuna wehu wengi sana
Nilisema mimi nyege mbaya ona mtu kala za mbavu 😂😂😂😂 sjui inakuaje sasa nitaificha wapi sura yangu😂😂😂😂😂😂😂 Kumekucha
Hivi makamanda wenzangu mbona hamnipendi? Au ndio mko busy na kuipambania katiba mpya?
Kila siku mimi napendwa na vijana wa Mama Kizimkazi!!! Why? Makamanda mnaniangusha 😂😂😂😂
CCM wananibeba hivyo ooh!!!
Kwako baba mtumishi Tlaatlaah
Nashukuru kwa kunipenda ingawa sijui umenipenda na umevutiwa na kitu gani na mimi? Sio kesi hata mimi NAKUPENDA km Yesu alivyolipenda kanisa. UPENDO WA AGAPE
Mahusiano na ndoa ni jambo jema, hata vitabu vya Mungu vinatuasa mtu mume na mtu mke waungane wawe mwili mmoja ili waijaze dunia. Ndiomana hata Mungu alivyomuumba Adam hakuona sahihi akamletea msaidizi ambaye ni Hawa ( Ambao ndio sisi kina Lamomy)
Ahsante kwa upendo na mapenzi yako makubwa uliyoonyesha kwangu.
Najua mpaka kuamua kuja na uzi km huu ulichukua muda mrefu kujipanga na kujiandaa hukukurupuka!!! Kuna kitu kilikusukuma moyoni mwako. 🙏
Sasa baba mtumishi pamoja na yote hayo mwenzio mimi mpenzi wa mtu na mpenzi wangu yupo humu humu tena mwana CCM mwenzio. Nampenda kuliko maelezo.
Sina haja ya kumficha anaitwa Countrywide mwenyewe nimezoea kumuita Kantry nampenda chugga man wangu. Samahani kwa kusema haya.
Mwisho nikuombe usikate tamaa kutafuta yule ambaye atakuwa chaguo lako na utakayempenda kwa dhati ya moyo.
Nasikia uchungu kukujibu hivi lakini ndio hivyo siwezi kumuacha nimpendaye kwaajiri ya kumfurahisha mtu mwingine.
Damu ya Yesu ikulinde baba mtumishi.
Aimen 🙏
Ndoa gani mkuu? Mimi mke wa mtuLamomy toa comment Yako na ndoa lini?
Umemtoa wapi huyu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anamset bibie madai yake😂😂Wala, sema tu anatumiaje muda mwingi kuandika mineno yote hiyo
ni kwa msaada wa Roho Mtakatifu, bila hivyo si rahisi Countrywide Hongera sana na Mungu akubariki sana MkuuWala, sema tu anatumiaje muda mwingi kuandika mineno yote hiyo