Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

Ndugu zangu wapendwa sana,

Nawiwa kuwaalika na kuwakaribisha nyote katika karamu ambayo ni riziki ya chakula cha jioni.

Unaweza ukasema ni mapema sana, lakini kwakweli leo binafsi, kwa sehemu kubwa nimeishi kwa neno zaidi, nilikua site huko vikindu na kuhakikisha malengo na kazi zote za leo zinaisha na kutimia, maana huku ukiacha hata tofali tu, nnjenje kesho hulikuti. Basi ndio binadamu tena...

Vinginevyo nawashukuru sana nawatakia mapumziko mema ya usiku wa leo.
Mwenyezi Mungu awabariki sana nyote..
Aimen πŸ™
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu unayawezaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…