Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

Mzee wa miande umenasa kwa mtoto wa kitanga mwenye lahaja ya kitang'ata 😂
 
Hapa akikukataa na alaaniwe kama alivyolaaniwa KAINI,
 
Hapa akikukataa na alaaniwe kama alivyolaaniwa KAINI,
Muhimu zaidi ni Kumshukuru Mungu kwa yote.
Kukubaliwa ni Baraka, kukataliwa ni Baraka pia, Mungu ajua maana ya yote na anatupenda sana sote.

Asanti sana mpendwa Azarel kunitakia na kuniombea kibali kwa Mungu, kukubaliwa na Lamomy bila tashwishwi yeyote...
Barikiwa sana..
 
Komaa mkuu, mm nmeambiwa account ikisoma 100+m nintafte. Antonnia ... Napenda sana ila ndo nimeanza kutafuta vibarua kupata hiyo hela 🥴
Nakuombea sana Sir Midabwada Mungu akujalie bidii, ari mpya, nguvu zaidi na kasi zaidi. Usikate tamaa hata kidogo lipo taji na tunzo furaha kutoka kwa Mungu katika kazi zako njema....

Kwa Mungu, Yote yanawezekana....
 
we jamaa hatari sana umepita engle zote za kutongoza na hasa umemmbania ktk dini Hongera sana ,nauhakika utafanikuwa[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…