Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

Nina haja ya dhati Lamomy wa JF kwenye maisha na huduma yangu daima

Lamomy tulikua mawinga kariakoo wakinga wakampa mtaji😁😁saiv anafremu DDC
Mungu ni Mwema sana,
atatimiza la kila moja wetu kwa kwa wakati muafaka na kwa namna ya kipekee mno.

Daima tumtumainie na kumtegemea yeye pekee.
Na kwakweli, mambo yanabadilika, ukitaka kumuelezea mpendwa sana, na mtumishi Lamomy , basi muelezee Lamomy wa sasa...
 
Kaka ongea na mimi vizuri.

Jirani maombi yako yamejibiwa huku huna haja ya kwenda pale temboni tenašŸ˜‚
Lamomy
šŸ˜…Nimecheka japo sio vuzuri ila ni katika engagement tu...

katika kumtafuta Mungu zipo changamoto na lazima uwe radhi kuzikabili..
Usiogope, usione haya na wala usimwache Mungu anapokujibu maombi yako...

Nashukuru sana kwa karibisho lako kufanikisha haja ya moyo wangu.


Nimekubali nitakaribia
kwa wakati muafaka kuchota, kuyaelewa na kuyafahamu mengi mazuri sana ya huyu mpendwa wangu ninaemtumaini mtumishi Lamomy
Shukrani sana Half american
 
šŸ˜…Nimecheka japo sio vuzuri ila ni katika engagement tu...

katika kumtafuta Mungu zipo changamoto na lazima uwe radhi kuzikabili..
Usiogope, usione haya na wala usimwache Mungu anapokujibu maombi yako...

Nashukuru sana kwa karibisho lako kufanikisha haja ya moyo wangu.


Nimekubali nitakaribia
kwa wakati muafaka kuchota, kuyaelewa na kuyafahamu mengi mazuri sana ya huyu mpendwa wangu ninaemtumaini mtumishi Lamomy
Shukrani sana Half american
Tungoje anakuja very soon
 
Namshukuru Mungu kwa ajili ya yako na yangu, kwa wasaa huu muhimu, ambao ni zawadi kutoka kwa Mungu kwetu sisi sote.

Tumeipewa zawadi hii bure na tuitumia bure, na kwahivyo yatupasa kuitumia vizuri kadiri tuwezavyo na kwa uaminifu, huku tukimshukuru yeye pekee daima, kila wakati tunapopata wasaa wa kufanya hivyo.

Namsalimu sana mtumishi, msaidizi wangu mpendwa sana na kipenzi cha haja ya moyo wangu Lamomy popote alipo.

Namuombea kwa Mwenyezi Mungu ulinzi mkali sana wa kiroho na kimwili uambatane nae daima kila mahali anapotekeleza majukumu, kazi na mahangaiko yake ya kila siku.

Milango yangu ya kimwili na kiroho iko wazi daima kwajili yake, na saa zingine inalala wazi usiku na mchana ikitazamia ujio wake wakati wowote maishani mwangu katika Roho na kweli ya Mungu.

Namuomba Roho Mtakatifu ahuishe nafsi yake Lamomy ilainike na ipate kuskia sauti ya wito wa Mungu kwake dhidi yangu.

Afungue moyo wake uweze kutambua na kujua vema nia, haja, makusudi na madhumuni yangu mema sana kwake na yenye baraka, neema, sifa na utukufu wa Mungu daima na milele....

Lamomy katika dhiki na faraja daima na milele.

Kwa jina la Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
We jamaa ulisoma SJUT?
 
How can you predict kwamba hutakuwa nayo? Ina mana sasa hiv uko jobless ndo unayo ama?
Bahati Mbaya sijawai kumuamini Mwanamke hata Siku Moja nahisi Uwepo wao ndiyo Chanzo cha Kukosa Uhuru wangu Binafsi so Sasa hivi ni najitahidi kuingia kwenye Mahusiano kupata nafasi ya kuishi Kwa mara ya 2 (Mtoto au Watoto). Ambapo ili hitaji Langu likitimia sitoitaji kuwa na Mwanamke karibu yangu.
 
Back
Top Bottom