INAUZWA Nina hama nauza vitu vifuatavyo

Wadau Meza ya kula pamoja na vit vyake. Vit vyake vinne viwili vya kurekebisha ni vizur saana tsh 350,000/-Masofa seti nzima yote nauzaa 800,000/- yaan mawil ya single moja double na la tatu la watu watatu. Karibun. Karibun
 
Unayosema bei hyo ni inchi 32,co 43
Usibishe vitu usivyovijua mkuu kwanza Tv ni inchi 42 sio 43.nina duka la michezo nimeshanunua Tv 5 kwa bei hiyo na nimeanza kununua zingine nafungua duka Mazizini ukonga
 
Usibishe vitu usivyovijua mkuu kwanza Tv ni inchi 42 sio 43.nina duka la michezo nimeshanunua Tv 5 kwa bei hiyo na nimeanza kununua zingine nafungua duka Mazizini ukonga
Haitakua Samsung hzo zako labda simsang uliza vzr,,,Ila pia inawezekana jinsi unavyozipata sishangai
 
Haitakua Samsung hzo zako labda simsang uliza vzr,,,Ila pia inawezekana jinsi unavyozipata sishangai
Ni Samsung kaka mm nanunua nyingi napewa kwa jumla na jumla yenyewe sio kichwa kichwa utapigwa.nina maduka ya michezo
 
Mkuu sizan WAP unanua???
Hatubishani mkuu nimekwambia nimeshanunua Tv 5.Na hata hiyo Tv ningenunua nisingeweka nyumbani kwangu natumia Smart.Samsung Smart ndio bei kubwa sio hizo
 
Reactions: MC7
Hatubishani mkuu nimekwambia nimeshanunua Tv 5.Na hata hiyo Tv ningenunua nisingeweka nyumbani kwangu natumia Smart.Samsung Smart ndio bei kubwa sio hizo
Nielekeze nikanunue, maana TV yangu imezima toka juzi. Nina wasi wasi na mafundi wetu wataniambia circuit imeungua au A c
 
Samsung 43 kwa 600 000 mkuu? naunganana na mdau huwez pata popote pale na kama utapata ni zile smart za kichina ambazo hata function za smart hazifany kazi na ukitaka kuzijua pamoja na kuwa ni slim ni nyepes mno kulinganisha na samsung og ambazo ni slim na nzito
 
Reactions: MC7
Wewe Mbona kama Unaenda kuzimu sasa!?

Kama Upo hapahapa Duniani Hivyo vitu Usiuze Nakusii Ndugu Yangu
 
Meza na viti vyake ila hivyo viti nirekebishie kabisa,
then uniletee hadi home kibaha
kwa mfipa nakupa hiyo pesa yako taslm
350,000/=
 
Reactions: MC7
Io mbao ya mdizi ni kiboko[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…