Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Ndio maana kuna rangi tofauti ili kila mtu achague
 
Usipanic Dada?,miaka 26 bado sana, endelea kutulia kama huna habari ya kutaka kuolewa, watu wanaolewa na miaka arobain na_ huko, wanazaa na miaka 50.
Tulia tulia tulia. Hakuna umri wa Serikali wa kuolewa. Kuwa mvumilivu ili usije juta baadae


Hahahaaa nimecheka sana, eti hakuna umri wa serikali wa kuolewa
 
Vigezo vyako ukifika 30th utamtaka wa rangi yeyote tena kwa msisitizo utasema unapenda weusi.
 
Tatizo siku hizi watu wameacha kumshirikisha Mungu kwenye suala zima la kupata mume au mke bora naona mpo busy kuzifanya jf au istragram kuwa ndio miugu yenu ya kupata wenza bora hongereni kwa hilo.
 
Kamtengeneze kwa seremala huyo mdoli unayemtaka

Unaweza kuta mi Nina sifa zote unazotaka Ila in mweusi kama wasira napo utanikataa kisa rangi

Nasemaje utasubiria sana haji ng'ooo

Na utaishia kumoata mwenye sifa vice-versa na hizo unazotaja .
 
Nasie Udongo wa kisiju wakina Bilali chance zetu lini?
au tungojee second selection
 
rangi tetehhhhh
 
NaulizA; Ukishampata huyo Umtakae kwa vigezo vyako Utatoa sh ngapi..!!??
 
miee kisizi,nadhani mpaka hapo sihusiki....[emoji57] [emoji57] ..!!!..
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…