Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Endelea kuwa selective hivyo hivyo wanaume utabaki kuwaona kwenye notes za biology topic ya reproduction
 
Unasaka mume na rangi unachagua na hayo mengine, wewe haujasaka mume.

Lazina unatabia unatakiwa kujibadilisha, walio kosa wanaume hawaandiki uliyoyaandika eti hadi rangi kuna mengine mema.
 
Soma thread yako kwa umakini. "Nina hamu ya kuolewa...". Ndoa yoyote inakuja na majukumu mapya, changamoto zake, wajibu, n.k. Je, umeyafikiria haya? Au una hamu tu ya kuolewa. Ukiolewa hamu yako imetimia, nini kinafuata baada ya hapo?

Ni maoni yangu.
 
nawashangaa watu humu kuweka unafki mwingi, kwahiyo mtu asitaje vigezo? Nyoooo cha kuolewa na jitu ukilitizama unapata hasira? Chagua mwaya umri unaruhusu si kuchukua tu mtu ilimradi
 
je na wewe ni mrefu,maji ya kunde,mjasiriamali msafi mwili na roho.... sio unatuwekea vigezo kumbe we ndo kiazi zaid..[emoji1] [emoji1]
 
Habari mrembo, mm karibu vigezo vyote Nina, naomba masiliano yako ya simu ili tuweze kuwasiliana
 
Mrefu ndio nini ? Mimi nina sentimeta 168
Wewe urefu ni angalau futi au cm ngapi?mm ni mweusi nina 31 ninahitahitaji mke , nafanyia kazi tanga ila mkazi wa Dar
 
Weka picha tukuoni. Mimi sifa zite ninazo. Tatizo sitaki nunua mbuzi kwenye gunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…