Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Pumbavu nyie ndo mkipataga waume wa kuwaoa ndani mnaruka Kama vitenesi.... Kaa hivyo ili iwe fundisho kwa wengine. Tuliwahi kudanganywa na wenzako Kama hivi tukaoa, Kama nisingekuwa na mpenzi wangu wa pembeni bia (safari ndogo) ningeshakufa kwa stress.
 
Kwakurahisisha mambo ebu tupe your physical appearance kwanza mambo ya ndani ya mtu tutayajua hpo bdae naomba tuanzie hpo
 
Nambie
 
Sema sasa na wewe kama mrefu au mfupi, maji ya kunde au mweupe/mweusi, una chura au huna?
ukiweka vigezo weka na vyako maana wanaume pia tuna vitu tunahitaji!
 
Uko wapi
 

Dah, nakuombea ufanikiwe na usibadilike, mnasema hivi ila mkiingia ndani hamueleweki kabisa.
 
huna utayar wa kuwa mke ,,bali unahamu ya kuolewa ...jaribu kutofautisha hivyo vitu then ukikaa sawa ndo utapata mume sahihi kwako
 
Njoo nikuoe nihamu ya kuoa sipati mwanamke wakunifaa
 
Eti awe mrefu mweupe!! shwenziii kabisa.

Kwa mwanaume mwenye akili timilifu hata kama ana hivyo vigezo vyako visivyokuwa na kichwa wala miguu hawezi kuchukua mwanamke wa sampuli yako na kumfanya mke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…