Nina hamu ya kuolewa ila sipati mtu aliye na utayari

Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Mamidota niko hapa

Natafuta Mpenzi wa Kike Awe Dar
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Sio kwamba haupati ,sema "UMEWEKA VIGEZO KTK NDOA" AKITOKEA MTU ALIYETAYARI UTASEMA MFUPI, HANA KAZI, HAJUI KUVAA . ndio mlivyo nyie, na kwa tabia hizo MTASUBIRI SANA ,WENZENU WATAOLEWA ,WANAPATA FAMILIA , HESHIMA WANAPATA NYIE KAZI KULA NUAMA CHOMA ,KULA KULA NYUMBA MPYA KILA SIKU!!!BADILIKENI TUWASTIRI !
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Nataka tucheze mziki 2club bila kuoana [emoji124]
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Ndyo maaana huolewi na wanawake wengi sn wa sasahiv hamwolewi kwasabu too much choice mrefu,mjasilia mali msafi kiroho rudi shulen kasome huyo mwanaume labda umuumbe mwenyewe
 
Unaishi mkoa gani? Unafanya kazi gani ni maswali muhimu unayo takiwa kujibu kabla hatujafunguka
 
Kupika na kucheza mziki ndo kasema
Nmecheka jaman[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anatafuta mjasiriamali akat yeye chef na dancer....harmorapa anakufaa Dada angu maana utampikia na atakapoimba ndo utakapocheza vizuri
 
Umri wangu miaka 26, elimu yangu kidato cha nne sina mtoto wala sijawahi olewa. Dini ni kristo. Kitu ninachokipenda; napenda kupika na kucheza mziki. Situmii kilevi chochote.

Mwanaume ninaemuhitaji awe na umri miaka 29 kuendelea, awe mrefu mweupe au maji ya kunde, Mjasiriamali na msafi wa mwili mpaka roho yake, awe mkristo nitampenda na kumlinda daima.

Karibu kwa aliyependezewa na mimi.
Mh mbona CV yako majanga? Eti napenda kupika na kucheza! Are u real serious? Mimi nakushauri uende kwana field ya kuolewa kwanza halafu ndio kisha uchukue hatua ya kutangaza kuolewa. Saasawa kijana?
 
Back
Top Bottom