Burn the bridge _Tz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 2,319
- 6,878
Hii hapana hta mm nakataa, bora niwe maskini lkn dyudyu lifanye kazi πSasa achana na hao watalamu wako kwanza,. Njoo na laki nikupeleke kwa mtalamu wangu sharti hakuna kunjunjana mpaka unaingia kaburini
Sasa ndo achague kimoja anachoona cha muhimuπππππHii hapana hta mm nakataa, bora niwe maskini lkn dyudyu lifanye kazi π
Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka
02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)
03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..
Nipo njia panda naomba ushauri
Lazima watakuletea kishawishi tu ambacho huwezi kukwepa na ndipo utajiri unakwishwaSasa achana na hao watalamu wako kwanza,. Njoo na laki nikupeleke kwa mtalamu wangu sharti hakuna kunjunjana mpaka unaingia kaburini
Sasa we mkuu huwezi kuishi bila kunjunjana?Lazima watakuletea kishawishi tu ambacho huwezi kukwepa na ndipo utajiri unakwishwa