Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,944
- 15,711
Siwez mkuuSasa we mkuu huwezi kuishi bila kunjunjana?

namba 2 ya ukwel sana nenda nayoKwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka
02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)
03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..
Nipo njia panda naomba ushauri
Atatapeliwa mpaka aweuke chizi 😂😂Nenda na hiyo namba mbili, unampiga dyudyu jini unamkojolesha huku anakupa utajiri hvy ni faida tupu 🔥
Namba 4Kwa haraka haraka
01.Nimepata mtalaamu(mganga) wa kunipa utajiri wa masharti ya kuchinja kondoo 4 kila mwaka
02.Nimepata mtalaamu wa uhakika wa kunisaidia kuoa jini.(Jina litanipa utajiri)
03.nimepata agent wa uhakika wa kunitafutia kazi unskilled job Canada Dubai na Qatar..
Nipo njia panda naomba ushauri
Huwezi kuwa tajiri kwa kwenda vetaNamba 4
Nenda VETA
Hilo sharti gumu. Njoo nikupeleke wa kwangu sharti lake usitoke nje ya ndoa tu.Sasa achana na hao watalamu wako kwanza,. Njoo na laki nikupeleke kwa mtalamu wangu sharti hakuna kunjunjana mpaka unaingia kaburini
Ndoa zenyewe sikuizi hamna mkuu,. 😆😆Hilo sharti gumu. Njoo nikupeleke wa kwangu sharti lake usitoke nje ya ndoa tu.
Tangazo limekaa unyama ngoja waje inboxKwa haraka haraka