Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya huo kuwaua................. najaribu kufikiria kila every possible scenario that might come out!

TUANGALIE ALL POSSIBLE SCENARIOS AND HOW TO MITIGATE THEM...... Risk Mitigation Strategies

NOTE: SISEMI , WASIANDAMANE, KUANDAMANA LAZIMA, LAKINI LAZIMA KUWEKA STRATEGIES ZA KUPUNGUZA VIFO/MAAFA BY ALL MEANS POSSIBLE.
 
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya huo kuwaua................. najaribu kufikiria kila every possible scenario that might come out!
Ndio maandamano ya kwanza kufanyika?
Huu ndio uoga wenyewe.
 
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya huo kuwaua................. najaribu kufikiria kila every possible scenario that might come out!
kwahivyo Samia Must Go ni vurugu au Fujo?

ndio hata wakosekane watu waliovunjwa viuno na kuteguliwa taya?🐒
 
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya huo kuwaua................. najaribu kufikiria kila every possible scenario that might come out!
Tuandamane hapa hapa mbona ukumbi mkubwa tu!
 
Kuwaua inaweza kuwa ngumu, ila kutupiga watatupiga sana, na majeruhi ama vifo inawezekena kabisa. Lakini ifahamike, no gain without pain. Tukiweza kufanya maandamano wangalau ya masaa matatu yatatulipa sana.
 
Polisi tunavyowajua, wanaweza kuwaua viongozi wakuu wa chadema kwa kisingizio cha vurugu. How? Wanawavurumisha watu na ku create commotion, lakini target yao ni viongozi, wanawaua na kusema hawajui aliyewapiga risasi, may be waandamanaji wengine walikuwa na visa na hao viongozi na kutumia mwanya huo kuwaua................. najaribu kufikiria kila every possible scenario that might come out!
Kwani watakao andamana hawajui kwamba kuna risasi za moto, washa washa na marungu?
 
Sioni sababu ya watu kuandamana maana wenye nia ni wachache kuliko waoga
 
Back
Top Bottom