Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeporwa haki gani Canular?kuandamana ni laaazima ukiogopa kufa wa ajili ya kutafuta haki yako iliopolwa na wenye mamlaka kwani utaishi milele ? hautakufa ? utaishi milele bora kifo cha kishujaa
fulana za buret proof. nimeandika kiswahili.Exactly, asante sana sasa lazima tupange hilo lisitokee tena...... Risk Mitigation Strategies
Hawa mapolisi wanaweza sana tena sana1 Ni wanyama, mashetaniSiyo kirahisi namna hiyo.
Wewe ni muislamu, muope Mtume wako (SAW)! Kwaheri!Hao chadema wanauana wao wanaisingizia serikali.
. Chuki yao tunaijua sababu zake.
Kuandamana ni lazima nakubali, but what can we do to minimize deahs? That is my concern, siyo kuoopa kufakuandamana ni laaazima ukiogopa kufa wa ajili ya kutafuta haki yako iliopolwa na wenye mamlaka kwani utaishi milele ? hautakufa ? utaishi milele bora kifo cha kishujaa
Mbon anaua sana as of now?Samia hawezi kuruhusu Hilo litokee kwenye kipindi Cha utawala wake