Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

Chiba na zile screpa zake sasa, zitatoboa nyama
 
If that happens, who will be responsible for the incident? Nani anayepaswa kusimamia maandamano ya amani kikatiba? Na kama hilo litatokea bhasi wajibu wa jeshi la polisi utakuwa questioned mkuu. Na kwa taharuki iliyopo sasa sijui Kama kutakuwa na mahusiano mazuri tena kati ya raia na polisi, hili limeshaanza kujitokeza wananchi kugomea polisi kuwachukua watu, tumeona Mwanza na Kariakoo, pia polisi mmoja wa barabarani kushambuliwa huko Musoma. Je tunaelekea wapi kama taifa?
 
Nyie si wakombozi mnaogopaje kufa sasa
 
I will be there insha'Allah
 
Terrible times coming ahead! kama international community ingelikuwa na mandate ya kum summon rais/polisi for that matter at the international court, basi twende kazi na wao wasingelithubutu kuwaua! Sasa wataua na hakuna cha kuwafanya!
 
kuandamana ni laaazima ukiogopa kufa wa ajili ya kutafuta haki yako iliopolwa na wenye mamlaka kwani utaishi milele ? hautakufa ? utaishi milele bora kifo cha kishujaa
 
Hao chadema wanauana wao wanaisingizia serikali.
. Chuki yao tunaijua sababu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…