Nina hofu, hofu yangu ni hii kuhusu maandamano ya tarehe 23/9/2024

Hilo nalo mkalitazame, kushindana na mwenye silaha za moto wakati wewe hata jiwe huna akiamua kujitoa ufahamu ni hatari.
 
kuandamana ni laaazima ukiogopa kufa wa ajili ya kutafuta haki yako iliopolwa na wenye mamlaka kwani utaishi milele ? hautakufa ? utaishi milele bora kifo cha kishujaa
Mmeporwa haki gani Canular?
 
Viongozi wa chadema hawatakuwepo kwenye maandamano. Makapuku ndiyo watakuwa frontline. Hukusikia kuwa mkakati ni kuwachochea vijana wa mitaani waandamane na kufanya vurugu? Subiri video na picha za maandamano zikitoka ndiyo utaniambia.
 
kuandamana ni laaazima ukiogopa kufa wa ajili ya kutafuta haki yako iliopolwa na wenye mamlaka kwani utaishi milele ? hautakufa ? utaishi milele bora kifo cha kishujaa
Kuandamana ni lazima nakubali, but what can we do to minimize deahs? That is my concern, siyo kuoopa kufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…