Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Onyo, achana na wake za watu, utageuzwa kuku.Wadau hamjamboni nyote?
Wenye elimu zenu mkiongozwa na ndugu mshana na bujibuji nipeni ushauri
Niwatakie siku njema
kula yai gentleman achana na imani potofu kwenye vitamin..Wadau hamjamboni nyote?
Wenye elimu zenu mkiongozwa na ndugu mshana na bujibuji nipeni ushauri
Niwatakie siku njema
Utajikuta unakuwa tetea na wewe shauri yakoNamla yeye na yai lake
Hilo lundo la nguo kwenye makochi aliona ni kiota cha kutagia.Usitie hofu,huyo kuku kapendezwa na hizo nguo hapo,akaona km Ni kiota,Jambo la maana waambie majirani zako ,wape na yai lao.
Jitahidi kufunga mlango laa sivyo kila siku atakuwa anatagia hapohapo