ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Bila kuchoka45 ndo kikosi
Chewa sio45 kikosi
skujua kumbe na ww ni namba ya bahati 45 😂 heshima kwakoBila kuchoka
45 ndo kikosi nawakilishaskujua kumbe na ww ni namba ya bahati 45 😂 heshima kwako
pasopa sio
PASOPA45 ndo kikosi nawakilisha
Dawa Ni kutafuta mkoa mmoja na kwenda huko Ni ku make sure unateka mkoa kwa dar es salaam naona frequency zimeisha jaaMe Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.
Mkuu vijana under 45 sio wasikizaji wa Radio utapata matangazo, wengi wako kwenye social media na mpira betting na shughuri za pesa, wasikilizaji wa redio ni 50 to 85yrsMe Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.
Kwa kusoma title tu inatosha. Sasa ni hivi, vijana wana redio za kutosha. Wana content nyingi, labda tu ziboreshwe kidogo maana burudani kama imeshika %90.Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.
Kwa online ni sahihiHiyo hela ya kufungulia redio fanyia kitu kingine. Biashara ya redio kwa sasa ni ngumu mno. Au wekeza kwenye online radio na TV
We jifanye hukati tamaa unasonga mbele.... Nakwambia Kuna siku utasonga ugali😄Mi nimejitafuta nimefungua online radio ( Tzgospel Radio) sema mi sikati tamaa nasonga mbele