Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Bahati? Angekuwa hana hela?skujua kumbe na ww ni namba ya bahati 45 😂 heshima kwako
pasopa sio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati? Angekuwa hana hela?skujua kumbe na ww ni namba ya bahati 45 😂 heshima kwako
pasopa sio
45 sio lazma uwe na hela ina maana kubwaBahati? Angekuwa hana hela?
Chewaa45 ndo kikosi.
Huruma sio malezi
Watoto wa baba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] FB huko, jinsi walivyo sasa, unacheka had bas lol
Ni sawa kwa kujifarijia. Dunia ya sasa haiko kwenye nadharia hizo. Mtu unapitia magumu kwa Sbb huna kipato cha kueleweka. Bado unajifariji kwa namba mpaka unaenda kaburini. Bahati hiyo ni ipi sasa? Badirika45 sio lazma uwe na hela ina maana kubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitaaa imetuleaaa.Chewaa
Hivi vikosi vinazidi kushamiri sana, alaumiwe sana mwanangu hamidu wa 26 life.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mitaaa imetuleaaa.
Hatariiii tupuuu.
26, ikaja 32, sahivi 45.Hivi vikosi vinazidi kushamiri sana, alaumiwe sana mwanangu hamidu wa 26 life.
Shida ni vikosi vinaoasisi uhuni uhuni tu hakuna la maana.26, ikaja 32, sahivi 45.
Tatizo wanachama wa vikosi, hawaeleweki na wamekaa ki utapelu, ukibaka, wizi, teja. Etc
Poleeee zao.
Mkuu hebu jaribu kukutana na Kusaga huenda ukatoboa haya maishaMe Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.
Nina online radio moja kati ya radio 10 zinazo sikilizwa zaidi Tanzania na moja kati ya online radio kubwa zaidi duniani kuliko yoyote nina online radio 210 fanya kila nchi na radio yake,napata wasikilizaji kwa radio zote hadi 40k kwa siku na wasikilizaji hadi 300 kwa wakati mmoja napoongea napata imail kila siku toka nchi mbalimbali najifunza kila wakati najua radio inapo elekea. Kwa miaka ijayoWe jifanye hukati tamaa unasonga mbele.... Nakwambia Kuna siku utasonga ugali😄
Kusaga ata msaidia nini sasa wakati yeye bado anaweza kupambaniaMkuu hebu jaribu kukutana na Kusaga huenda ukatoboa haya maisha
Kila radio na watu wake we mzee unasikilizaje wasafi wakati kuna tbc na radio onelugha ya vile Vito vinavyovuta bangi nakujiona vijanja mwisho vinafirwww..aa na kuwa wezi
wasafi ndio nini mrembo?Kila radio na watu wake we mzee unasikilizaje wasafi wakati kuna tbc na radio one
Kuna jamaa anaitwa Farhad ni Mtanzania mwenye asili ya Kiasia, alianzisha redio zikiwa na studio Mbeya na Unguja. Huku akiwa na biashara nyingine.Hiyo hela ya kufungulia redio fanyia kitu kingine. Biashara ya redio kwa sasa ni ngumu mno. Au wekeza kwenye online radio na TV.
Radio bila ubunifu inakufa mameneja wa radio awana akili Kabsa kwa miaka 5 iliyo pita baada ya technology kukua kwa kasi imeadhiri sana radio baada ya matangazo kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii radio zilizo faulu ni zile ambazo zimeweka nguvu kwenye mitandao ya kijamii, radio nyingi azina azina kitengo cha digital radio nyingi zimebaki karibu mpenzi msikilizajiKuna jamaa anaitwa Farhad ni Mtanzania mwenye asili ya Kiasia, alianzisha redio zikiwa na studio Mbeya na Unguja. Huku akiwa na biashara nyingine.
Hiyo biashara yake ililazimika kulea hizo studio mbili hadi biashara ikayumba, mwishowe madeni ya mishahara, kodi na umeme ikamfanya aachie radio mameneja.
Hadi sasa hizo radio zina jina moja ila wamiliki ni tofauti, zinaruka Zanzibar na Mbeya.
Ova
Wewe kwa akili hizi ni ngumu kufanikiwa. Bado uko kwenye kuwaza upumbavu. Au unadhani kuonekana mhuni mhuni ndo ujanja? Pumbav.45 ndo kikosi nawakilisha
Kweli mkuu hata hizo Redio wanaweka memo card wanasikiliza sengeri. Hata magazeti sikuizi vijana hawasomi. Hivi bado yapo kweli magazeti.Mkuu vijana under 45 sio wasikizaji wa Radio utapata matangazo, wengi wako kwenye social media na mpira betting na shughuri za pesa, wasikilizaji wa redio ni 50 to 85yrs