Nina idea nimpe content mtu anayetaka kufungua redio ya vijana aiite 45 fm

Nina idea nimpe content mtu anayetaka kufungua redio ya vijana aiite 45 fm

Nina online radio moja kati ya radio 10 zinazo sikilizwa zaidi Tanzania na moja kati ya online radio kubwa zaidi duniani kuliko yoyote nina online radio 210 fanya kila nchi na radio yake,napata wasikilizaji kwa radio zote hadi 40k kwa siku na wasikilizaji hadi 300 kwa wakati mmoja napoongea napata imail kila siku toka nchi mbalimbali najifunza kila wakati najua radio inapo elekea. Kwa miaka ijayo
Kaka 😄😄 humu JF na nyuma ya keyboard tunaandika chochote Mkuu.. 😄😄... Hatujulikani....
Hongera Kwa verified users wenye majina halisi kama Pascal Mayalla.... Maana Kuna utumbo na maini hawawezi kuandika...
 
Hivi vikosi vinazidi kushamiri sana, alaumiwe sana mwanangu hamidu wa 26 life.
Two six....! Hiyo namba achana nayo. Waache waanzishe vikosi vyao lakini hiyo namba wanaijua.... Hata kwa kuisikia!

"wana tupimia hapa nasi tushajiona mbali.... Kama wanazima kwa BAPA basi hatuwapi misumari"
 
Kaka 😄😄 humu JF na nyuma ya keyboard tunaandika chochote Mkuu.. 😄😄... Hatujulikani....
Hongera Kwa verified users wenye majina halisi kama Pascal Mayalla.... Maana Kuna utumbo na maini hawawezi kuandika...
Shukran
 
Oya wee wanangu wa 45 like hii comment, hatufagilii 45 ndio kikosi.
 
Ni sawa kwa kujifarijia. Dunia ya sasa haiko kwenye nadharia hizo. Mtu unapitia magumu kwa Sbb huna kipato cha kueleweka. Bado unajifariji kwa namba mpaka unaenda kaburini. Bahati hiyo ni ipi sasa? Badirika
unaongea zeshen tu
 
45 hapa itikeli imezingatiwa, afu 45 atuchambi umbea kama 26, oya radio hapana labda tv hizi online then unapita kila maskani unapiga story na masela kiutu,
 
Shida ni vikosi vinaoasisi uhuni uhuni tu hakuna la maana.
Kabisaa yaani ni wa kuonewa huruma, huwa najiuliza na wale watu wana mademu? Hata shoga anayejitambua hawezi muinamia mtu wa vile khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisaa yaani ni wa kuonewa huruma, huwa najiuliza na wale watu wana mademu? Hata shoga anayejitambua hawezi muinamia mtu wa vile khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanawake mna huruma sana hawakosi.
 
Two six....! Hiyo namba achana nayo. Waache waanzishe vikosi vyao lakini hiyo namba wanaijua.... Hata kwa kuisikia!

"wana tupimia hapa nasi tushajiona mbali.... Kama wanazima kwa BAPA basi hatuwapi misumari"
Oveeeer
 
Kabisaa yaani ni wa kuonewa huruma, huwa najiuliza na wale watu wana mademu? Hata shoga anayejitambua hawezi muinamia mtu wa vile khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikosi 45 ndo kikosi teule, mbona wanapisi kali
 
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio inafahamika na wenyewe Nina bonge la kitu redio itapendwa.. BOSS yoyote ukiwa serious tuongee shida hakuna watu wanataka wale raha redio hiyo itakuwa nzuri Sana kuna kipindi cha watu kupeana michongo pia.Na app ya redio iwepo.
Vipi mkuu hiyo redio itakua na uhusiano wowote na Mimi a45 kabla sijaendelea ?
 
Back
Top Bottom