Nina Imani kupitia thread yangu hapa JF, Waziri Ummy amesaidia kipande hiki cha barabara kusambaza (grading) malundo ya udongo

Nina Imani kupitia thread yangu hapa JF, Waziri Ummy amesaidia kipande hiki cha barabara kusambaza (grading) malundo ya udongo

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo asante Mwalimu Ummy!

Tusaidie Waziri Ummy Mwalimu barabara ya Tanga to Pangani
 
Back
Top Bottom