The other day niliandika kuwa Mh Ummy Mwalimu atusaidie kipande cha kutoka Chalinze (Mwakidila) to at least Machui junction wakikwangue (grading) kwa sababu kilikuwa hakipitiki kabisa na ilikuwa shida kubwa sana. Jana naona wamekipiga grada (grading) na sasa kinapitika vizuri. Kama ni hivyo asante Mwalimu Ummy!