Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

Nina jambo langu, nahitaji mke wa kuoa

Mume huyu hapa..😊
luckyline njoo tugombanie goli
Jamani mbona vigezo ninavyo na zaidi jamani hii si ndio.ndoa sasa?😉
Asante kuniita hivi uko piemu kuna kajinafasi nikukuta wazembe wazembe niwafukuze chap?

Mpaka unaniista wewe sio mchoyo? Embu niachie hii nafasi, kama mambo yataende vizuri nitakupa connection ya kudumu.au Mungu atakulipa😂

Lastly embu kwanza nijue inakuwaje mimi ndo namfata piem ama? Afu kama mimi ndo namfata huko nimwambie nini?

Hii ni ndoa ningekutana nayo mitaani ingekuwa raha.
 
Kwa uzoefu wangu mdogo tuu nikiona new ID huwa naona kunakitu kinalengwa.
Mkuu ukafanikiwe
 
Sawa, kama ndio umeamua kufanya hvyo.....
 
Hivi humu hakuna wajeda wengine tunapenda kupigishwa kwatwa [emoji2957]
 
Wapendwa wa Jamii Forums,

Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo nayemtafuta ni kama ifuatavyo: -

KUHUSU MIMI (mwanaume)
  • Elimu: Chuo Kikuu (Master Degree)
  • Kazi: Nimeajiriwa katika Sekta Binafsi
  • Dini: Mkristo
  • Umri: 40+ (Kujua exact age njoo inbox)
  • Mahusiano ya zamani: Njoo inbox nitakueleza
  • Lengo: kuoa kabisa
KUHUSU WEWE (mwanamke)
  • Elimu yako? Yoyote (Std 7 and above). Sifa nyingine za mhusika zinaweza kuficha mapungufu ya elimu hata kama ni ndogo
  • Una Kazi? Si lazima uwe nayo. Lakini angalau uwe unafundishika. Je, unapenda ujasiriamali? Kama ndiyo basi poa.
  • Umri wako? 18+ (ukomo wa juu ni 35). Kama unazaidi ya hapo tuwasiliane. Huenda ikawa "AGE IS JUST A NUMBER".
  • Una mtoto / Watoto? Naweza kuvumilia mwenye mtoto. Ila asizi mmoja. Pia napenda kujua ana umri gani?
  • Lengo la uhusiano huu? Liwe ni kuolewa.

Mambo mengine tutaelezana zaidi wakati wa mawasiliano. Niko serious na hili jambo.

Karibuni inbox. Walengwa tu tafadhali.
Mimi ukinipa I'd yako ya dhamani nakuja haraka inbox
 
Hivi mkuu unaanzishaje urafiki na mtu kwa lengo la wazi la kumwuoa
Mimi nafikiri ungeanzisha urafiki kwanza kisha baadaye uone kama inafaa kumwambia lengo
Inawezekana kabisa kusema ukweli mwanzo mwisho. Mimi naona mkuu yupo sawa kabisa.
 
Wapendwa wa Jamii Forums,

Nawasalimuni nyote! Kisha napenda kuwashirikisha jambo langu. Sina mambo mengi. Kwanza kabisa, WANAUME wenzangu hii haiwahusu kabisa. Labda kama unamjua mwanamke wa aina hii nayotafuta umwelekeze yeye mwenyewe awasiliane na mimi. Nataka kuoa. Sifa zangu na za huyo nayemtafuta ni kama ifuatavyo: -

KUHUSU MIMI (mwanaume)
  • Elimu: Chuo Kikuu (Master Degree)
  • Kazi: Nimeajiriwa katika Sekta Binafsi
  • Dini: Mkristo
  • Umri: 40+ (Kujua exact age njoo inbox)
  • Mahusiano ya zamani: Njoo inbox nitakueleza
  • Lengo: kuoa kabisa
KUHUSU WEWE (mwanamke)
  • Elimu yako? Yoyote (Std 7 and above). Sifa nyingine za mhusika zinaweza kuficha mapungufu ya elimu hata kama ni ndogo
  • Una Kazi? Si lazima uwe nayo. Lakini angalau uwe unafundishika. Je, unapenda ujasiriamali? Kama ndiyo basi poa.
  • Umri wako? 18+ (ukomo wa juu ni 35). Kama unazaidi ya hapo tuwasiliane. Huenda ikawa "AGE IS JUST A NUMBER".
  • Una mtoto / Watoto? Naweza kuvumilia mwenye mtoto. Ila asizi mmoja. Pia napenda kujua ana umri gani?
  • Lengo la uhusiano huu? Liwe ni kuolewa.

Mambo mengine tutaelezana zaidi wakati wa mawasiliano. Niko serious na hili jambo.

Karibuni inbox. Walengwa tu tafadhali.
Dear future husband...
 
Back
Top Bottom