DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 4,446
- 8,215
Ile rula ina cm kumi km sijakosea km sijakosea .. Kwa maelezo yaliyotolewa hapa ndo nimejua Leo kumbe nipo kwenye kundi la vibamia1 inch= 2.5 cm.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile rula ina cm kumi km sijakosea km sijakosea .. Kwa maelezo yaliyotolewa hapa ndo nimejua Leo kumbe nipo kwenye kundi la vibamia1 inch= 2.5 cm.
Manzi wako ashawahi kulalamika kwamba humtii vizuri?Ile rula ina cm kumi km sijakosea km sijakosea .. Kwa maelezo yaliyotolewa hapa ndo nimejua Leo kumbe nipo kwenye kundi la vibamia
Usipinge, punyeto ina madhara sana kwa mwanaume hata hayo asemayo yamechangiwa na hilo tatizo.We itakuwa una matatizo yako mengine sio punyeto,watu tumekiwasha tangu miaka ya 90 hatuna hizo mambo na tunakaribia kupata wajukuu wakutosha
We nenda hospital watakupa jibu sahihi
Acha utapeli na udanganyifu pitia thread ya mwenzako. Anzisha yako na weka hilo Tangazo lako.Una shida ya uume mdogo,nguvu za kiume basi tumia hii bidhaa . Inaongeza size mpaka inchi 3,pia inaondoa shida ya nguvu za kiume. Ukiitumia unakua kama unaipeleka mashine gym,ukibeba Nondo misuli huongezeka nguvu na ukubwa. Pia ukitumia penis pump utapata matokeo chanya ya mashine kuongezeka ukubwa na kuwa nguvu sana .
AlooTafuta penis pump,utakuja kunishukuru 🥂.
Nyani wa Kupanda mnazi kwa mkono mmoja mmmmh🤣🤣🤣🤣unashauri ushwetani kwa teenagiWe itakuwa una matatizo yako mengine sio punyeto,watu tumekiwasha tangu miaka ya 90 hatuna hizo mambo na tunakaribia kupata wajukuu wakutosha
We nenda hospital watakupa jibu sahihi
Mkuu usifosi tufanane dunia ina mambo mengi wote hatuwezi shughulika na jambo moja, ww ukishughulika na siasa inatisha.Wanaume wengine wanapambania taifa, wengine wanapigia kelele serikali iwajibike juu ya utekwaji wa watu. Huyu huku anawaza kibamia chake. Kweli tunatofautiana kiakili.
Asante mkuu, ushauri wako umenipa moyo sanaDoto embu acha ujinga. Kwa nini unasikiliza maneno ya mitaani? Kibamia hakina shida yoyote. Maandiko mengi yalishaandikwa kuwa kibamia sio tatizo lolote .
Achana na maneni ya mitaani.
Fanya kazi zako furahia uhai wa Mungu aliokupa .
Wewe kinachikusumbua sio kibamia ila unasumbuliwa na Misinformation za kijinga ambazo sio za kitaalamu.
Tatizo la hapa Tanzania bado watu wa ushauri nasaha hawapo strong sana kwa sababu wananvhi hawana hio elimu ya kwenda ukiwa na tatizo. Ila wewe dawa yako ingetibiwa na watu wa ushauri nasaha.
Ninachokuambia tu ni wewe kujiamini na kula maisha.
Kuna watu hawana nguvu za kiume kabisa ila wanajikubali sasa hao ndio walitakiwa wawe kwenye situation ya kutaka kujiua ila wanajikubali na wanasonga hujafa hujaumbika kwa hio acha huo mawazo yako ya kijinga mara moja na acha kusikilizawahua
Kibamia kinatekenya. Kina raha yake wakati mwingineHapo ndio unajua wanawake wasaniii 🤣🤣🤣🤣 eti kibamia nacho kinaumiza.
Ila wa awake nyieeee waongo🤣🤣🤣
Hahaaaaaa, ngoja tumuite Mfufua Nyuzi auweke akiba huu.Huu Uzi utakufanya ufungue ID nyingine huko mbeleni.. watu kama kawaida yetu.. tunarejea maandiko ya nyuma.. ndio utamu wa JF.
Mweee mnavyojua kutupa moyo wakati full fime ni masimango tuuKibamia kinatekenya. Kina raha yake wakati mwengine.
Inch 5.6 inakaribia cm kama 2 kufikia nusu rula. 5.6 inch ni almost nusu rula. Sema tu ni kukosa kujiamini.Mkuu hivi hizo inch 5.6 ni urefu gani yaani ni rula ngapi maana wengine tumesomaa HKL hatuelewi chochote... Hebu sema chochote maana wengine ni vibamia hatujijui
Kinafaa lakini sio wakati wote..kuna muda unahitaji kutekenywa na kuna muda unahitaji hogo. Tatizo lipo hapoMweee mnavyojua kutupa moyo wakati full fime ni masimango tuu
Tukione.....Bwana wewe ujikubali tuu mbona mie nina kibamia lakini maisha yanasonga mzeya