Nina kijana mdogo ameathirika naishi nae, anagegeda sana vibinti vya watu, nimsaidiaje?

Kwanini huwa mnaeleza mengi kiundani? Nauliza tu kama umeeleza kila kitu ukweli bila kupindisha, akisoma humu unaona itakuwaje kati yako na yeye?

Vizuri kumsaidia ila anatakiwa apate kuona wataalamu wa kumtoa katika hiyo ya kujigundua alizaliwa nayo, hayo ya mazingira kusoma etc hayatamsaidia bali naona ni kama hajali kabisa na pia alishajiachia lolote na liwe.

Mpeleke akasaidiwe kuondokana na yaliyomkuta.
 
Kwa wewe kumconvice na akaelewa unalowambia inaweza isiwe rahisikwa kua hauna taalamu hiyo

Hilo jambo linahitaji wataalamu wa ushauri wa maswala ya afya maana wajua saikolojia pia.

Ni vema ungemwazishia utaratibu wa kuonana na watu hao wa ushauri ili waweze kumuelewesha kulingana na taalamu ya kwenye hilo.
 
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti

Acha ushamba bwana....

*najuwa!!!!!
*kwa ha vitabu vya mungu!!!!!
*zambi!!!!
*kwa acha awagawie!!!!

We jamaa ni mshamba kweli.... Utadhani mwanaume wa mikoani

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti

Mkuu ngwengwe ni TB wala sio Ukimwi naomba ufahamu hiyo. Ukisikia fulani ana ngwengwe maana yake ana TB. Ukimwi una majina yake. Tumefahamiana Mkuu?
 
mwenyewe kunadada mmoja huku mtaa najuwa ana gwegwe anagwa tu kama kifulushi cha tigo hapo mzee mwache awape dozi kwa ha vitabu vya mungu vinasema mshahara wa zambi nimauti kwa acha awagawie mauti
Mtaa gani huo
 
Nitafuata ushauri wako Rossoneri
 
Nafahamu hawezi kufika huku,lakini naelezea kwa undani kwa sababu sio wote wanaojua kisa hiki
Ni vizuri kuelezea kwa undani kutoa nafasi kwa wanaoshauri,kushauri baada ya kuwa wameelewa kisa kamili.Zamani tulitumia Ukurasa wa "MAONI/MASWALI" wa gazeti la Uhuru,sasa mitandao imeturahisishia
 
Mwenywe na ndugu yng ana ngoma ana sambaza balaa natamanigi niwastue wadada anaotembea nao ila nashindwa maana wengi anaotoka nao ni wanafunzi wa sekondari n vyuo
 
Angalia asije kukugegedea wanao bure aisee, kwa mtindo huo ataambukiza wengi na hivi ni kijana mdogo mhhhh balaa
mtu anayetumia arvs ni ngumu sana kumwambukiza mwenzie virus maana wale virus hawana nguvu kabisa wamelewa wamelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…