cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Basi mkuu!!Kama nimekosea kuwasilisha ujumbe wangu nisamehewe!!Haikuwa nia mbaya kuuliza ili nipate ushauri
Sijasema umefanya kwa nia mbaya, ila nakutaarifu ujue kwa kuwa muwazi. Kwa haya ni muhimu kupindisha mengine kidogo kidogo, Hata kama ujirani waweza kusema mfano mtaa wa nyuma yako, nyumba ya tano au hivi na vile n.k.. Muhimu ni inayemuhusu akisoma, asione kabisa kuwa ni yeye anaongelewa.
Nafikiri utanielewa nia yangu na itasaidia na mwingine labda.